Askofu Gwajima: Kimsingi Waziri wa Afya ni mke wa mdogo wangu

Gwajima anajibiwa Kwa hoja nyepesi sana, watu wanachanjwa sindano za mifupen wanajitokeza kwenye camera kutwambia wamechanjwa chanjo ya corona anyway kila mmoja apambane na Hali yake
Unaweza kuthibitisha hili?
pumbavu
 
Akili za hapa na pale ndio hizi!Kwamba Mama Samia,PM,Mkuu wa majeshi,Jaji Mkuu na viongozi wale wote wanashiriki dhambi ya kutuhujumu watanzania?Tuwe na akili Basi!
Wanayafanya kwa nia njema. Hata walio beba hela kwenye viroba enzi za mkwere walifanya hivyo kwa nia njema. Hata wasio julikana walio teka watu, kuwaua, wote wali fanya kwa nia njema.
 
Wanayafanya kwa nia njema. Hata walio beba hela kwenye viroba enzi za mkwere walifanya hivyo kwa nia njema. Hata wasio julikana walio teka watu, kuwaua, wote wali fanya kwa nia njema.
Ujuaji ukizidi ni ujinga!Wakiua watanzania wote watafaidika nini?Watamtawala nani?
Acha mihemko ya kijinga!
 
Inakua ngum kumjib sabab hatuna mwanasayans MTz alieshirik katika kutengeneza chanjo...chanjo tumepewa kama kupewa chakula na stranger halaf anakwambia kula. Hujui kaweka nn...so ni ngum snaaaa kujib ndomana unaona kuna ukimya mkuuuu
Nakubali mkuu!
 
Akili za hapa na pale ndio hizi!Kwamba Mama Samia,PM,Mkuu wa majeshi,Jaji Mkuu na viongozi wale wote wanashiriki dhambi ya kutuhujumu watanzania?Tuwe na akili Basi!
Chadema wakikusoma hapa watainamisha vichwa kwa uchovu.

Wao wanaamini 2020 oct walidanganyaa na cabinet yote hiyo.
 
Heeeeee.... eti dada Doro kumbe "Kibwetere" ni shemejio kabisa?
 
ninaomba mwenye ile picha ya kijana aliyevaa t-shirt imeandikwa " kujamba tushajamba bado kunya tu" aipost hapa
 
Akili za hapa na pale ndio hizi!Kwamba Mama Samia,PM,Mkuu wa majeshi,Jaji Mkuu na viongozi wale wote wanashiriki dhambi ya kutuhujumu watanzania?Tuwe na akili Basi!
Kwa hiyo hao hawawezi kushiriki hiyo dhambi ya kutuhujumu?? Umewapima kwa lipi mpaka ukawaamini kiasi hicho??
Hoja nyepesi sana hii na imekaa kihisia zaidi jaribu kutafuta nyingine mkuu.
 
Kwa hiyo hao hawawezi kushiriki hiyo dhambi ya kutuhujumu?? Umewapima kwa lipi mpaka ukawaamini kiasi hicho??
Hoja nyepesi sana hii na imekaa kihisia zaidi jaribu kutafuta nyingine mkuu.
Kwahiyo unaamini wamekula njama kuwaua watanzania?
Kama ndivyo,wao watafaidika nini?Maana raha ya kuongoza lazima wawepo wa kuwaongoza!
 
Kwahiyo unaamini wamekula njama kuwaua watanzania?
Kama ndivyo,wao watafaidika nini?Maana raha ya kuongoza lazima wawepo wa kuwaongoza!
Haijalishi ni kuwauwa ama kuwapa madhara fulani kwa manufaa yao hiyo inawezekana kabisa nao ni binadamu wale.
Sijaona sababu ya kuwaamini 100%.
 
Askofu Gwajima alisema Kimsingi Daktari Dorothy Gwajima ambaye ndiye Waziri wa afya wa JMT ni mke wa mdogo wake.

Ni katika kuweka kumbukumbu sawa.

Mungu ni mwema wakati wote!
Kama uko na akili na uelewa kauli ya Gwajima ina maana kubwa sana, Means Gwajima, mdogo wake na shemeji yake ambaye ndie waziri wanakaa meza moja
 
Back
Top Bottom