Askofu Gwajima: Kimsingi Waziri wa Afya ni mke wa mdogo wangu

Gwajima anajibiwa Kwa hoja nyepesi Sana , watu wanachanjwa sindano za mifupen wanajitokeza kwenye camera kutwambia wamechanjwa chanjo ya corona anyway kila mmoja apambane na Hali yake
Akili za hapa na pale ndio hizi!Kwamba Mama Samia,PM,Mkuu wa majeshi,Jaji Mkuu na viongozi wale wote wanashiriki dhambi ya kutuhujumu watanzania?Tuwe na akili Basi!
 
Watu hawawezi kuwa na akili kama hawana hata uwapeleke havard university watarudi na vyeti kichwani hamna kitu ndio maana unaona Afrika kila kukicha ni masikini na mali za kumwaga tunazo...
 
Gwajima anajibiwa Kwa hoja nyepesi Sana , watu wanachanjwa sindano za mifupen wanajitokeza kwenye camera kutwambia wamechanjwa chanjo ya corona anyway kila mmoja apambane na Hali yake
Ili iwe nini?????
 
Mambo ya familia kuwa mahali inapelea inatuhusu nini sisi wa tozo za simu,Gwaji and Gwajiboy hukohuko
 
Elimu ni muhimu sana hii nchi. Wazungu kama ni kutaka kutuua wangeshatuua zamani sana wasingesubiri mpaka kuja kutuua na chanjo ya covid.

Madawa yote haya tunayotumia yanatoka kwao sasa kwanini wasituue siku zote hizo waje kutuua sasa?
 
Miafrika ndivyo tulivyo....

Hatimaye Tanzania tumempata Kibwetere wetu, Uganda wasitutambie tena
 
Askofu Gwajima alisema Kimsingi Daktari Dorothy Gwajima ambaye ndiye Waziri wa afya wa JMT ni mke wa mdogo wake.

Ni katika kuweka kumbukumbu sawa.

Mungu ni mwema wakati wote!
Hivi mmekosa kabisa watu wa kuwa "quote" hadi muwe mnakuja kwa huyu taahira?
 
Back
Top Bottom