Askofu Gwajima: Kimsingi Waziri wa Afya ni mke wa mdogo wangu

Holy Man

JF-Expert Member
Feb 4, 2021
4,315
2,000
Gwajima anajibiwa Kwa hoja nyepesi sana, watu wanachanjwa sindano za mifupen wanajitokeza kwenye camera kutwambia wamechanjwa chanjo ya corona anyway kila mmoja apambane na Hali yake
Umepiga chanjo mkuu
 

daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Apr 28, 2016
974
1,000
Kwa nini ukichanjwa unaambiwa uendelee kuchukua tahadhari zote yaani kuvaa barakoa, kuepuka misongamano, kunawa mikono?
Uingereza bado kuna COVID-19🦠😷, mbona kwenye viwanja vya mpira watu wanajaa kama kawaida na hawavai barakoa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom