#COVID19 Askofu Gwajima Kaathiriwa na Filamu za Hollywood "Fiction movies" Pamoja na Mambo dhahania

Gwajima Pamoja kuwa bila kupepesa macho ni Mzinzi wa kutupwa ila kuna mahali Mungu amemtumia.
Mungu anaweza kukutumia ukiwa na dhambi zako na mwisho akakutia Jehanam.

Wako watu wengi Wameokoka Kikwelikweli kupitia hayohayo mafundisho na vituko vya Gwajima yaani Gwajiboy.

Gwajima ameokoa Roho nyingi sana kuliko hata wewe na mimi, na huo ndio mpango wa Mungu

Kuwaleta watu wake katika ufalme wake.

Ili aurithi Ufalme wa Mbingu Gwajima ni lazima atubu na aache kufanya uovu tena, na aache ule utapeli wake wa kujidai anafufua Wafu.
 
Mungu humtumia hata Shetani katika Kazi zake,

Shetani pia ni kiumbe wa Mungu.

So upo sahihi
 
Rejea kwenye KIKOMBE CHA BABU WA LOLIONDO watu wenye elimu kubwa,mawaziri,matajiri na kila aina ya watu waliamini KIKOMBE kimoja chenye dawa chenye gharama ya mia 500 ukinywa unapona kila maradhi .

Kwani uongo ukisemwa sana ugeuka kuwa ukweli hii ndio kawaida ya ulimwengu wetu ulivyo.

Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
 
Tunapenda mambo yasiyo na uhalisia
 
Back
Top Bottom