Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,723
Kuna Kitu nimekigundua kwako kuwa una Akili sana sana,inabidi niwe karibu na wewe....hata kama Asprin akijua...Fashion yake tu mshenga inaniacha hoi.
Vipi amekuja na ile ndege yake au kapanda hizi daladala za kawaida za angani?
Wakikujibu niambie....hebu inua uso kidogo maanake hio style ya nywele kama ya mchepuko wangu?!!Karudi na ndege yake?
RRONDO ushindweeeeee [emoji23]Wakikujibu niambie....hebu inua uso kidogo maanake hio style ya nywele kama ya mchepuko wangu?!!
Dude ataliamsha kweli akiguswa.Mchungaji wa Ufufuo na uzima amerejea nchini kutoka katika ziara alizokuwa nazo yapata miezi miwili na nusu tangu asafiri alianza ujerumani akaenda japani akaenda Australia akamalizia kwa Trump sasa amerudi kuliamsha dude kama kawaida yakeView attachment 578920 wakati anaingia JKN
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaja na bombadier yake?Mchungaji wa Ufufuo na uzima amerejea nchini kutoka katika ziara alizokuwa nazo yapata miezi miwili na nusu tangu asafiri alianza ujerumani akaenda japani akaenda Australia akamalizia kwa Trump sasa amerudi kuliamsha dude kama kawaida yakeView attachment 578920 wakati anaingia JKN
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Hana Vikundi Vya Uamsho Sio Kama Yule Shekhe Wenu Anae Tetea UgaidAnatesa tuu,ingekuwa ni Sheikh Kwa maneno yake angekua anaozea jela
nadhani atalitolea ufafanuzi kwenye madhabau, na kama yule jamaa yake wa koromije ndio aliyefanya mkwamo basi maubiri sizani kama yatakuwa ya jumapili moja...😀😀😀
Is it so special?
Mna viwanda?Karudi na umeme?
Wewe dogo unalilia nini tulia relax lakini ujue dude alikwepeki.Sisi hatujihami mana hana cha kututisha ila mpeni taarifa siku hizi madude hayaamshwi tena...nadhan atajionea hari ya hewa
Sent using Jamii Forums mobile app