johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,129
Huko foleni ni kubwa bwashee!Ukimaliza hii uje na safu ya wakuu wa wilaya na mikoa
Maendeleo hayana vyama bwashee!Unatumia haya maneno "Maendeleo hayana chama" wakati serikali yako sidhani kama inaamini hayo!
NB: Makonda arudishiwe Dar yake, maana uchaguzi umeisha na sasa tunaijenga nchi yetu.Ukimaliza hii uje na safu ya wakuu wa wilaya na mikoa
Makonda atateuliwa viti maalumu!NB: Makonda arudishiwe Dar yake, maana uchaguzi umeisha na sasa tunaijenga nchi yetu.
Wote ni waigizaji mkuuInamaana Mpango hajafanya maajabu aliyokuwa anahubiri JPM mpaka akasema wamletee Mpango?
Sasa bunge litabarikiwa siyo wale wachungaji chumia tumbo akina Msigwa!Kwa mara ya kwanza katika Historia Bunge lina Askofu!! Tena Askofu Rashid
Kawe yote inahamia New YorkKwa mara ya kwanza katika Historia Bunge lina Askofu!! Tena Askofu Rashid
Kwenye siasa hakuna asiye katili!Makatili yote lazima yatateuliwa
Kawe imepata mbunge makini!Kawe yote inahamia New York