UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,046
- 9,344
Kwa hiyo ametoa strategy ya kahamie bila yeye kuwa na mpango wa kuhama?Mtahama nyie mtamuacha

Kwa hiyo ametoa strategy ya kahamie bila yeye kuwa na mpango wa kuhama? Kama ni hivyo basi kamanda baba askofu anazingua0713800880 mpigie
kwamba PhD holder lazma aongee kitu cha kukufurahisha then ndo awe PhD holderUkisikia PHD ndio hizi, huitaji kuambiwa kwamba wewe ni PHD holder. Tumeona wengine PHD holder wanaongea vitu nya ajabu mpaka unawaza aliipataje kama ndio anakuwa na frikra za namna hii! Anyway kizuri kinaoneka wala hakiitaji kupigiwa debe.
akiacha na kujitenga na ufuska itapendeza zaidi 🐒MWONGOZO WA KUHAMA CHAMA
Katika msimu wa Ligi yoyote, huwa kuna wachezaji kuhama club zao. Hata kwenye siasa, dini na hata ndoa, imeanza kuzoeleka watu kuhama au kuachana. Napendekeza Mwongozo wa kuhama:
1. Unapohama, tueleze uzuri wa unakokwenda, si ubaya wa unakotoka. Tayari tunajua utokako ni kubaya ndiyo maana umeondoka.
2. Tueleze uzuri na ubaya wako, si uzuri na ubaya wa watu unaoachana nao. Mapenzi yana upofu wa kudumu. Mwenye neno “MAPINDUZI” katika jina lake, anamshtaki mwenye harufu tu ya jina la “UHAINI”.
3. Jitahidi kukumbuka kuwa unayemwacha aliwahi kuwa mwema kwako (Baby) mpaka mkazaa watoto. Kwa ajili ya watoto, songa mbele kimya kimya.
4. Ukiweza hamia uendako kimya kimya, tutakuona ukiwa huko. Ukitaka kurudi, rudi kimya kimya. Usipoahidi kitu hudaiwi chochote. Maneno mengi yanamtisha mpenzi mpya.
5. KUMBUKA: Hakuna chuki ya kudumu wala mahaba ya kudumu. Mahaba ya kutongozea siyo ya kutunzia ndoa. Unakimbia kikwapa na kuangukia kwenye shombo.
Source fb page yake
Then akaweka picha hizi
View attachment 3330219
View attachment 3330220
atoe na miongozo anayotumia kuzini na wake za waamini wake 🐒Maoni ya tumbili
Amewaambia nyie wenye kamdomo.Kwa hiyo ametoa strategy ya kahamie bila yeye kuwa na mpango wa kuhama?
Umeona ee?!!! Kama tupo kwenye kitchen party🤣🤣🤣🤣Askofu huyu ana gubu, drama na mipasho!
Hivi Askofu Dk. Bagonza yule mtoto wake aliyemtelekezaGA aliishaanza kumhudumia? Kuna watu wana roho ngumu!!MWONGOZO WA KUHAMA CHAMA
Katika msimu wa Ligi yoyote, huwa kuna wachezaji kuhama club zao. Hata kwenye siasa, dini na hata ndoa, imeanza kuzoeleka watu kuhama au kuachana. Napendekeza Mwongozo wa kuhama:
1. Unapohama, tueleze uzuri wa unakokwenda, si ubaya wa unakotoka. Tayari tunajua utokako ni kubaya ndiyo maana umeondoka.
2. Tueleze uzuri na ubaya wako, si uzuri na ubaya wa watu unaoachana nao. Mapenzi yana upofu wa kudumu. Mwenye neno “MAPINDUZI” katika jina lake, anamshtaki mwenye harufu tu ya jina la “UHAINI”.
3. Jitahidi kukumbuka kuwa unayemwacha aliwahi kuwa mwema kwako (Baby) mpaka mkazaa watoto. Kwa ajili ya watoto, songa mbele kimya kimya.
4. Ukiweza hamia uendako kimya kimya, tutakuona ukiwa huko. Ukitaka kurudi, rudi kimya kimya. Usipoahidi kitu hudaiwi chochote. Maneno mengi yanamtisha mpenzi mpya.
5. KUMBUKA: Hakuna chuki ya kudumu wala mahaba ya kudumu. Mahaba ya kutongozea siyo ya kutunzia ndoa. Unakimbia kikwapa na kuangukia kwenye shombo.
Source fb page yake
Then akaweka picha hizi
View attachment 3330219
View attachment 3330220
NIbora mwenye roho ngumu kwani hata kukufa hakufi,kuliko mwenye akili ngumu kama Mtoto wa shule.Hivi Askofu Dk. Bagonza yule mtoto wake aliyemtelekezaGA aliishaanza kumhudumia? Kuna watu wana roho ngumu!!
Kaishia la ngapi? Only intellectuals can write what he wrote. Sana sana huyo kuonesha busara zake, kaamua kukaa zake kimya and hence wenye nchi hawajui hata anawaza nini? Hi nayo ni hekima kutoka kwa Mungumuft wa bongo nae tusome sehemu ameandika kama hivyo
Wewe ndio mama wa mtoto? Tupatie ushuhuda kama hutojali, anakutunza au kaacha? Maanake huwezi kuandika kwa uhakika kama hivi if humjui vizuriHivi Askofu Dk. Bagonza yule mtoto wake aliyemtelekezaGA aliishaanza kumhudumia? Kuna watu wana roho ngumu!!
Pole sana bibie! Wewe na nyumbu wenzio wote.Kilaza huwezi elewa
Wewe ni mkewe ndio maana umejaa upepo? Ahahahahaha!!Wewe ndio mama wa mtoto? Tupatie ushuhuda kama hutojali, anakutunza au kaacha? Maanake huwezi kuandika kwa uhakika kama hivi if humjui vizuri
Askofu huyu ana gubu, drama na mipasho!
MWONGOZO WA KUHAMA CHAMA
Katika msimu wa Ligi yoyote, huwa kuna wachezaji kuhama club zao. Hata kwenye siasa, dini na hata ndoa, imeanza kuzoeleka watu kuhama au kuachana. Napendekeza Mwongozo wa kuhama:
1. Unapohama, tueleze uzuri wa unakokwenda, si ubaya wa unakotoka. Tayari tunajua utokako ni kubaya ndiyo maana umeondoka.
2. Tueleze uzuri na ubaya wako, si uzuri na ubaya wa watu unaoachana nao. Mapenzi yana upofu wa kudumu. Mwenye neno “MAPINDUZI” katika jina lake, anamshtaki mwenye harufu tu ya jina la “UHAINI”.
3. Jitahidi kukumbuka kuwa unayemwacha aliwahi kuwa mwema kwako (Baby) mpaka mkazaa watoto. Kwa ajili ya watoto, songa mbele kimya kimya.
4. Ukiweza hamia uendako kimya kimya, tutakuona ukiwa huko. Ukitaka kurudi, rudi kimya kimya. Usipoahidi kitu hudaiwi chochote. Maneno mengi yanamtisha mpenzi mpya.
5. KUMBUKA: Hakuna chuki ya kudumu wala mahaba ya kudumu. Mahaba ya kutongozea siyo ya kutunzia ndoa. Unakimbia kikwapa na kuangukia kwenye shombo.
Source fb page yake
Then akaweka picha hizi
View attachment 3330219
View attachment 3330220
Hujamwelewa. Soma mstari mwenye neno mapinduzi.....Kamanda Baba askofu na yeye anataka kuhama chama? Chadema kwishiney!