benson bagonza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Video: Dakika 31 za Askofu Benson Bagonza - KKKT - Dayosisi ya Karagwe akitoa maoni yake mkataba wa bandari zetu

    Kwa ujumla ujumbe wake ni "Rushwa ndani ya serikali ndiyo sababu ya kwanini tunalumbana kama taifa leo kwa sababu ya mkataba huu" Mtazame na kumsikiliza mwanzo mwisho kwenye video hii👇👇👇👇👇👇👇👇
  2. Q

    Askofu Benson Bagonza: Darasa la Loliondo.

    Sakata la Ngorongoro/Loliondo ni darasa maalum kwa tasnia mtambuka. Waweza kuchagua mkondo gani wa darasa uingie kujifunza. 1. Habari/Media. Tulizoea tasnia hii ikirukia kuandika habari hata ikiwa na robo ya ukweli. Kwa kawaida, hawa jamaa kwa kukimbizana na ushindani, huwa wanapakua chakula...
  3. Olaigwanani lang

    Fasihi ya Askofu Dkt. Benson Bagonza kuhusu Miafaka vs Muafaka

    INAHITAJIKA MIAFAKA siyo MUAFAKA. Kuna harufu ya mparaganyiko kila mahali. Ni kama tuna nchi moja yenye mataifa mengi ndani yake. Badala ya muafaka wa kitaifa, inahitajika miafaka kadhaa ili kuunda muafaka mmoja. 1. CCM si moja. Kuna CCM-Mpina na CCM-January. Kuna CCM-Mwendazake na CCM-Samia...
  4. Q

    Dkt. Benson Bagonza: Wakati wa Mwalimu ukimsifia anakushusha cheo. Enzi hizi ukisifia unapandishwa cheo

    Alikuwa akihojiwa na Maulid Kitenge kuhusu kusifia kila kitu yeye akasema, hajui kutaga yai lakini yai bovu analijua, ‘mimi kama kiongozi wa dini wajibu wangu ni kuangalia wapi panahitaji kunyooshwa sio wapi panahitaji kusifia, wakati wa Mwalimu ukimsifia anaku- demote siku hizi ukisifia sifia...
  5. Analogia Malenga

    Askofu Benson Bagonza: Kuweka nchi sawa ni kazi isiyoisha

    Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe "Nampongeza mama kwa "100 kwanza". Namwombea "100 tena" zenye maono mapana zaidi" "Haki na uhuru ni misingi imara ya kuweka nchi sawa. Ukiyaahirisha unajitwisha mzigo mzito. Dai la katiba mpya lina faida kubwa kwa...
  6. Erythrocyte

    Askofu Benson Bagonza adai kuna wanaotaka kumdhuru, wamefika Karagwe

    Hii ndio Taarifa aliyoisambaza mitandaoni siku ya leo , kwamba kuna watu wabaya wamefika Karagwe kwa lengo la kummaliza , bali amejiapiza kwamba hatokimbia na anasubiri watekeleze Unyama wao. Binafsi siwezi kupuuza taarifa hii ya kiharamia kutokana na ukweli kwamba sasa tuko kwenye Tanzania...
  7. G Sam

    Picha: Askofu Benson Bagonza afurahia kukutana na Tundu Lissu leo

    Hakika furaha imetoka moyoni. Upendo usiopimika!
  8. G Sam

    Askofu Benson Bagonza asikitishwa na mwenendo wa Rais Magufuli, anena haya...

    "Aliyeteuwa hakuomboleza. Aliyeteuliwa hataomboleza. Marehemu ameshafika aendako? Na kama amefika basi usajili bado Tuna wagonjwa wengi, tutateuana kila siku" Hayo ni maneno ya Baba Askofu Benson Bagonza ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa hajafuraishwa na mwenendo wa Rais kuhusu jambo muhimu...
  9. M-mbabe

    Askofu Benson Bagonza: Tumeamua kumuomba Mungu kama Taifa, kweli tumuombe Mungu na siyo kumtukuza au kumsifia mwanadamu yeyote

    Asante Baba Askofu Bagonza. Kama kawaida yako, umeendelea kutufundisha Watanzania njia sahihi ipasayo kuzingatiwa katika ucha Mungu wetu kila iitwapo leo. Mungu akutunze baba yetu. ======= Anaandika Bagonza ( PhD) CORONA: TUOMBE, TUSIOMBEOMBE Vita dhidi ya Corona haiepukiki. Napendekeza...
  10. M-mbabe

    Askofu Benson Bagonza: Mbu akitua kwenye korodani, hukufanya ujifunze kutumia akili kumwondoa kuliko kutumia nguvu!

    Ubarikiwe sana Baba Askofu Bagonza. Wewe ni dokta (PhD) wa ukweli... hakuna wa kufanana nawe kwenye tasnia yote ya kichungaji and beyond!
  11. M-mbabe

    Askofu Benson Bagonza (PhD): Haijawahi kuwa rahisi kuwaongoza watu wenye njaa

    Ujumbe unajieleza wenyewe. Sina cha kuongeza zaidi tu ya ku admire hekima ya kipekee na maono aliyo nayo huyu mtumishi wa Mungu
  12. Elli

    Askofu Bagonza: Wanaodhani wana furaha hawana furaha. Wapinzani hawana furaha, wapinzani wa wapinzani hawana furaha

    FURAHA KAENDA WAPI? Waliopiga kura hawana furaha, Waliosusa/suswa hawana furaha. Waliopita bila kupingwa hawana furaha, Waliosimamia kura hawana furaha. Walioshinda hawana furaha, Walioshindwa hawana furaha Waliopanga yaliyotokea hawana furaha, Waliopangiwa yaliyotokea hawana furaha...
Back
Top Bottom