TANZIA Askofu Desmond Tutu afariki kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 90

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
13,580
18,618
Rais Ramaphosa amethibitisha kifo cha mshindi wa Nobel na miongoni mwa watu muhimu kumaliza ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, Desmond Tutu katika umri wa miaka 90.

Tutu aligundulika kuwa na saratani ya kibofu mwishoni mwa miaka 1990 na amelazwa mara kadhaa kwa maradhi yanayohusiana na matibu ya saratani hiyo.

=========

1640503134721.jpeg

Desmond Tutu: Archbishop and anti-apartheid veteran dies aged 90​

South Africa's Archbishop Desmond Tutu, one of the leaders of the anti-apartheid movement, has died at the age of 90, the President's Office has said.

He was an outspoken critic of the country's previous brutal system of oppression against the country's Black majority.

He was awarded the Nobel Peace Prize in 1984 for his campaign of non-violent opposition to South Africa's white minority rule.

"The passing of Archbishop Emeritus Desmond Tutu is another chapter of bereavement in our nation's farewell to a generation of outstanding South Africans who have bequeathed us a liberated South Africa," President Cyril Ramaphosa said.

A statement on behalf of the Tutu family described him as a man who "turned his own misfortune into a teaching opportunity to raise awareness and reduce the suffering of others."

It said: "He wanted the world to know that he had prostate cancer, and that the sooner it is detected the better the chance of managing it."

The statement added: "Ultimately, at the age of 90, he died peacefully at the Oasis Frail Care Centre in Cape Town this morning.
1640503750581.png

Source: skynews

==========
1640504420974.png
 
Desmond Mpilo Tutu ni Askofu mkuu wa Kanisa Anglikana nchini Afrika Kusini. Ilivyofika mwaka wa 1984 alipokea Tuzo ya Nobel ya Amani.

hata kumbukwa kwa mambo mengi kama kuhamasisha amani na mambo mengi.
IMG_3330.jpg

Archbishop Desmond Tutu, Nobel Peace Prize laureate and veteran of South Africa’s struggle against white minority rule, has died aged 90.

“The passing of Archbishop Emeritus Desmond Tutu is another chapter of bereavement in our nation’s farewell to a generation of outstanding South Africans who have bequeathed us a liberated South Africa,” President Cyril Ramaphosa said on Sunday.
 
Nilifikiri alishakufa kitambo kumbe bado alikuwa hai, alikuwa na mlengo gani kuhusu ushoga?
 
Rais Ramaphosa amethibitisha kifo cha mshindi wa Nobel na miongoni mwa watu muhimu kumaliza ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, Desmond Tutu katika umri wa miaka 90.

Tutu aligundulika kuwa na saratani ya tezi dume mwishoni mwa miaka 1990 na amelazwa mara kadhaa maradhi yanayohusiana na matibu ya saratani hiyo.

Desmond Tutu afariki.jpg
 
Desmond Mpilo Tutu ni Askofu mkuu wa Kanisa Anglikana nchini Afrika Kusini. Ilivyofika mwaka wa 1984 alipokea Tuzo ya Nobel ya Amani.

hata kumbukwa kwa mambo mengi kama kuhamasisha amani na mambo mengi.View attachment 2057935

Archbishop Desmond Tutu, Nobel Peace Prize laureate and veteran of South Africa’s struggle against white minority rule, has died aged 90.

“The passing of Archbishop Emeritus Desmond Tutu is another chapter of bereavement in our nation’s farewell to a generation of outstanding South Africans who have bequeathed us a liberated South Africa,” President Cyril Ramaphosa said on Sunday.
Mkuu uandishi wako ni kama umeishia lapili B, HATA KUMBUKWA!!
 
Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, Desmond Tutu ambaye alishiriki kupambana na ubaguzi wa rangi Afrika Kusini afariki dunia akiwa na miaka 90

Taarifa za kifo chake zimetangazwa na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa
 
Back
Top Bottom