GE2025 Askofu Bagonza: Mungu akimpendeza atatenda tena

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,156
Reaction score
48,400
Askofu Bangonza kwenye waraka wake ameeleza mambo mengi sana kuhusu CCM kugeuza nyundo alama ya chama chao kuwagonga wasiokubaliana nao.

Lakini kamalizia na Aya aliyoijaza mambo yanayotaka TAFAKURI ya kina. Askofu Bagonza Kaandika hivi:
"Wamesahau Mungu wetu haongeki na hapokei maelekezo. Kwake ni HAKI tu. Tumuombe mapenzi yake yatimizwe. Ikimpendeza atatenda tena."

Ni kina nani hao ambao wamesahau kuwa Mungu anayemwabudu Askofu Bagonza hapokei rushwa wala maelekezo?

Kwa nini Askofu Bagonza aseme Kwa huyu Mungu anayemuabudu kuna haki tu? Ni wapi kaona hakuna haki?

Na anapomalizia kwa kusema tumuombe huyo Mungu mapenzi yake yatimizwe ni mapenzi gani hayo ambayo Askofu Bagonza anataka tuombe yatimizwe?

Na sentensi yake ya mwisho anaposema kuwa huyo Mungu ikimpendeza atatenda tena, kwani huyo Mungu aliwahi kutenda nini ambacho Askofu Bagonza anatamani kitendwe tena?

Sisi LY tusiojua mambo haya TUNATATIZIKA! Wenye "D" mbili hebu tuelimisheni wenzenu tuliosoma kwenye shule za vidumu na mifagio kuwa hapa huyo msomi mwenzenu alimaanisha nini?
 
Msituni fisi anasubr mkono ukatike mungu yupi huyu anaeburudika akipigiwa vinanda
 
huyu ni mchawi tu kama waliyo wachawi wengine kufurahia mabaya kwa wenzie
 
Umeandika kiuchochezi sanaa
 
Niliyoyaona katika maono miaka 3 iliyopita hakika yanatimia kila jambo.

Kubwa dhidi ya nguzo ya uovu litatokea na hakuna wa kuzuia maana Mungu atatenda katika ukuu na mapenzi yake
 
Wizi wa kura ni uhaini na adhabu ya mhaini ni kifo. Ewe Mwenyezi Mungu tunakusihi uyafutilie mbali kwenye uso wa dunia haya majizi ya kura yaliyokubuhu.
 
Back
Top Bottom