Unamtambuaje mtu huyo ama wewe ndio mtoa hukumu.Mungu anaishi ndani ya Roho za wamchao .Mungu yupo pote kasoro sehemu mbili tu moja ni jehanamu kule hayuko na ndani ya roho ya mtu mwenye dhambi kama Bagonza nk humo hayumo
Kwamba maccm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maccm na waimba pambio watabisha na kumwita mhamiaji haramu.
Wait and see!.
Asante kwa ku summarizeMimi nineelewa.
1. Tanzania siyo Makao Makuu ya Mungu.
2. Korona ipo Duniani
3. Tanzania ni sehemu ya Dunia yenye korona
4. Afya siyo mali ya serikali
Hekima hana na akil hana...asiongee sana maana ana haribu...hata wew pia akili huna ndomana umejib comment kwa ghadhabu..tuseme wote.mim wew na yeye tupo kwenye kapu moja.yaan wote walopokaj na waandikaj kwa mihemko..woteKwahiyo unampangia namna ya kuongea.Kujua tu anajifanya ana hekima ni kukiri kakuzidi kila kitu kifikra.Hatuwezi kuwaza kwa namna inayofanana,tuna mitazamo tofauti,uwezo tofaut wa kufikiri na kutenda.Vyote hivyo Bagonza kakuzidi.
Huna sababu ya kuweweseka.Jaribu kukiri uwezo wa wengine ktk kufikiri na utajifunza jambo kubwa kupitia waliokuzidi.Huwezi kuzuia jua kwa ungo au bakuli ili eti lisiwake.Si ujinga tu Bali Ni upumbavu uliopevuka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hekima hana na akil hana...asiongee sana maana ana haribu...hata wew pia akili huna ndomana umejib comment kwa ghadhabu..tuseme wote.mim wew na yeye tupo kwenye kapu moja.yaan wote walopokaj na waandikaj kwa mihemko..wote
Corona ipo ila tumshukuru Mungu wengi tumeweza kuishi nayo kwa miili kujenga kinga. Baadhi wanasayansi wanapendekeza kutovaa musk ili kubadilishana virus na bacteria kujenga kinga imara zaidi.
Hii ni uthibitisho wa wazi kuwa ASkofu Bagonza ni mpagani sio Mkristo
Corona na Mungu haviwezi kuwa mahali pamoja Mungu
Lipagani hili Askofu kwa hiyo hata mbinguni kwaweza kuwa na Corona?
Labda kwa jina la yesu wa Biharamulo hukoHaya eee Mungu nakuomba wape Corona wote wadhihakio kazi kubwa uliyofanya kwa taifa hili tulipokuomba nakusahi wafe kwa Corona wanaoisifia Corona na kuiadikia sifa lukuki
Kila mdhihaki juhudi zako Mungu mwachie adui Corona amrarue
Nimeomba haya kwa Jina la Yesu
Asante kwa ku summarize
Nakazia hapa "afya sio mali ya serikali"
Wenye akili ndogo bado imekuwa shida kumuelewa, japo kajibu kwa kutumia simple falsafa bora umewasaidia kidogo
Yeye na Mungu ni vitu viwili tofauti haamini Mungu kabisa KKKT niwaulize huyu mpagani Bagonza alipenyaje kuwa Askofu?Huyu Askofu naamni lazima ana tunguli!
Mbona huwa anabeza sana kwamba Mungu hawezi kutenda kwa tz?
Ahaaa ahaaa, kwanza hongera kwa kutoka kwenye ule uzi wa mbinafsi wa chato maana alikuvuruga vibaya. Mmemalizanaje kule?Yesu siyo Amsterdam boss,! Si Lisu wala Magufuli kwamba mtu wa chama hiki sitamfanyia wema.
YESU/MUNGU siku zote huwatendea wema wabaya na wema. Ndio maana hata mvua huoni ikibagua kwa chadema na kuacha kwa ccm, wote inawanyeshea bila kujali madhaifu yao.