Askofu Bagonza: Kumpenda Mungu huku tukiwatesa na kuwadharau Wanadamu ni Ibada ya Sanamu

Realist hawezi ku-behave kama unavyo-behave hata kidogo.
Ma realist wanasimama kwenye kweli, kama mtu anafanya vizuri maeneo fulani, kuna ubaya gani kumsifu na kumpongeza kwa mazuri hayo?.

Naendelea kusisitiza

P
 
Nahisi kwa Askofu Bagonza, kitakachofuata ni kuchunguzwa uraia wake.
P

Upo sahihi, na hizi Hisia ni Matokeo/Matukio yalio kwisha kutokea hapo mwanzo na yakapelekea haya uliyo yasema kufanyika.Yes ni Hisia ,wapo wanao hisi pia kuwa Mtawala flani anahusika na a,b,c,d, ya Matukio flani hasa kutokana na yalivyo tokea na hatua zilizo fuatia baadae..
 
Kama ulimsikia vizuri, alisema yeye hakubahatika kuwa mwoga. Alisema yeye anaogopa watu watatu, wenye pesa wanyenyekevu, wenye madaraka wanyenyekevu, nimesahau ya tatu. Alirusha jiwe gizani, sikujua lilimpata nani!
 
Wasukuma mwambieni msukuma mwenzenu (Meko) aache ushamba wa kubambikia wakosoaji wake kesi za uhujumu uchumi.

Hivi yeye ni nani hata asikosolewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali ni lile lile, una uthibitisho ni yeye?.
Hao ni law enforces tuu wanatekeleza majukumu yao, au kuna watu kati tuu ndio wanaofanya madudu haya.

Mimi mwenyewe baada ya kuuliza lile swali siku ile pale Ikulu, contacts zangu zote za consultancy serikali zilifutwa ikiwemo kuzuiwa kufanya Saba Saba na Nane Nane na TBC wakagoma kupokea Programs zangu ikielezwa ni " amri kutoka juu".

Watendaji wa serikali wakisikia tuu ni amri kutoka juu, wala hawaulizi, wao wanajua ni juu kule tuu.

Kuna rais wa nchi fulani ya kiafrika kila akifanya press conference kuna mwandishi fulani free lancer, ana maswali magumu. Maswali ya mwandishi huyo yalikuwa yanachangamsha sana press conferences za rais huyo.

Siku rais akiitisha press conference anauliza kama huyo mwandishi yupo, ili ajiandae vizuri. Kuna siku huyo mwandishi aliuliza swali fulani gumu sana, rais akashindwa kujibu maswali yake, akamwambia unajua wewe mwandishi una nikera sana!.

Press conference iliyofuata yule mwandishi hakuwepo, press conference ikawa boring.

Press conference iliyofuatia rais akauliza kama huyo mwandishi yupo, akaambiwa bado hajafika. Kwenye hiyo press conference ambayo ilikuwa live, rais akatangaza live kuwa haendelei na press conference hadi huyo mwandishi aletwe, akaagiza akaletwe.

Ndipo head wa Special Branch akamnongoneza rais kuwa tangu siku ile rais aliposema huyu mwandishi anamkera, pale pale Special Branch walimtake care and by now he is no more!, he just vanished into thin air kama Azory Gwanda na Ben Saanane wetu. Kiukweli rais akasikitika sana na kuuliza who ordered that?. Ndipo rais akasema japo ni kweli maswali ya yule mwandishi yalikuwa magumu but he was the only sensible and fearless journalist na rais akasema kiukweli alikuwa anampenda sana awepo and he is missing him!.

Msikute hata issue ya Lissu, usikute ile siku rais Magufuli aliposema tuu wasaliti huwa wanafanywa nini vitani, wasiojulikana wakaingia kazini kumshughulikua msaliti wa vita vya kiuchumi, while in reality Magufuli mwenyewe knows nothing.

Hata issue yangu hiyo amri kutoka juu sio juu kule ni hao hao watu kati.

Hivyo tusimlaumu rais kwa kila kitu kuna vitu vingine sio yeye kabisa na hajui chochote!.

Mnaweza kushangaa hata issue ya Eric Kabendera wala rais Magufuli haijui, wala hajui kuna Mwandishi wa Habari, Eric Kabendera anaozea ndani, wala hajui kuwa Mama yake ni mgonjwa na Eric ndio tegemeo lake, hata hii issue ya huyu jamaa pia haijui, ila pia rais Magufuli ni mtu mwenye huruma sana na upendo sana!, just imagine aliwasamehe hadi wabakaji wa minors, kina Babu Seya, akawasamehe mafisadi, wahujumu na watakatishaji fedha. Huruma inaweza kumuingia haswa kwa mateso ya Eric Kabendera na jinsi mama yake anavyoteseka,na kumlilia, hivyo inaweza kushangaa soon akamwelekeza DPP kuzifuta hizo kesi zote zisizo na kichwa wala miguu, zikiwemo kesi zote zinazowakabili viongozi wa upinzani.
P
 
Sawa. Huyu ni miongoni mwa maaskofu bora wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wanaojua wajibu wao kwa Mungu na wanadamu. Ni Daktari wa Falsafa huyu. Wengine ni Dr. Frederick Shoo, na Dr. Stephen Munga. Wao habari ya kujikomba kwa watawala hawana kabisa. Ni neno tu, Mungu tu, Yesu tu. Hongera kwao na bila shaka Mungu atawabariki wao, waumini wao, kanisa lao, na zaidi sana uzao wao.
wakatoriki mmmm!!!!!nyekundu ni nyeupe na kijani ni njano.
 
Ndugu mtesi wa wapinzani, wanaharakati na wote wanaoidai serikali kwa kuwaita mabeberu 🐐🐐🐐 anayewapiga risasi mchana kweupe wenye hoja nzuri kuliko yeye. Kesho tutamuona akiwa front seat kanisani. Ntarahamwe fashisti Magundu
Kali ya 2019
 
Swali ni lile lile, una uthibitisho ni yeye?.
Hao ni law enforces tuu wanatekeleza majukumu yao, au kuna watu kati tuu ndio wanaofanya madudu haya.

Mimi mwenyewe baada ya kuuliza lile swali siku ile pale Ikulu, contacts zangu zote za consultancy serikali zilifutwa ikiwemo kuzuiwa kufanya Saba Saba na Nane Nane na TBC wakagoma kupokea Programs zangu ikielezwa ni " amri kutoka juu".

Watendaji wa serikali wakisikia tuu ni amri kutoka juu, wala hawaulizi, wao wanajua ni juu kule tuu.

Kuna rais wa nchi fulani ya kiafrika kila akifanya press conference kuna mwandishi fulani free lancer, ana maswali magumu. Maswali ya mwandishi huyo yalikuwa yanachangamsha sana press conferences za rais huyo.

Siku rais akiitisha press conference anauliza kama huyo mwandishi yupo, ili ajiandae vizuri. Kuna siku huyo mwandishi aliuliza swali fulani gumu sana, rais akashindwa kujibu maswali yake, akamwambia unajua wewe mwandishi una nikera sana!.

Press conference iliyofuata yule mwandishi hakuwepo, press conference ikawa boring.

Press conference iliyofuatia rais akauliza kama huyo mwandishi yupo, akaambiwa bado hajafika. Kwenye hiyo press conference ambayo ilikuwa live, rais akatangaza live kuwa haendelei na press conference hadi huyo mwandishi aletwe, akaagiza akaletwe.

Ndipo head wa Special Branch akamnongoneza rais kuwa tangu siku ile rais aliposema huyu mwandishi anamkera, pale pale Special Branch walimtake care and by now he is no more!, he just vanished into thin air kama Azory Gwanda na Ben Saanane wetu. Kiukweli rais akasikitika sana na kuuliza who ordered that?. Ndipo rais akasema japo ni kweli maswali ya yule mwandishi yalikuwa magumu but he was the only sensible and fearless journalist na rais akasema kiukweli alikuwa anampenda sana awepo and he is missing him!.

Msikute hata issue ya Lissu, usikute ile siku rais Magufuli aliposema tuu wasaliti huwa wanafanywa nini vitani, wasiojulikana wakaingia kazini kumshughulikua msaliti wa vita vya kiuchumi, while in reality Magufuli mwenyewe knows nothing.

Hata issue yangu hiyo amri kutoka juu sio juu kule ni hao hao watu kati.

Hivyo tusimlaumu rais kwa kila kitu kuna vitu vingine sio yeye kabisa na hajui chochote!.

Mnaweza kushangaa hata issue ya Eric Kabendera wala rais Magufuli haijui, hii issue ya huyu jamaa pia haijui, ila pia rais Magufuli ni mtu mwenye huruma sana na upendo sana!, just imagine aliwasamehe hadi wabakaji wa minors, kina Babu Seya, akawasamehe mafisadi, wahujumu na watakatishaji fedha. Huruma inaweza kumuingia haswa kwa mateso ya Eric Kabendera na jinsi mama yake anavyoteseka, hivyo inaweza kushangaa soon akamwelekeza DPP kuzifuta hizo kesi zote zisizo na kichwa wala miguu, zikiwemo kesi zote zinazowakabili viongozi wa upinzani.
P
Umeongea logic kubwa sana kuna kitu umefungua akili yangu si kila jambo ni kuhukumu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom