Askofu Bagonza: Kumpenda Mungu huku tukiwatesa na kuwadharau Wanadamu ni Ibada ya Sanamu

In fact, huwezi kumpenda Mungu usiemuona ukamchukia jirani yako unaemuona
Nevertheless, ukiipenda dunia kumpenda Mungu hakumo ndani yako anajazilizia kwa kusema watoto wadogo jiepusheni na sanamu!!
Bible is very interesting book to read!!!
 
Askofu Bogonza kuelekea Sikukuu ya Krismasi amesema haya, "Kumpenda Mungu huku tukiwatesa na kuwadharau Wanadamu ni Ibada ya Sanamu na Mungu hawezi kuwa upande wetu hata kama tunamuimba kila siku na Kula viapo kwa jina lake"

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa. Huyu ni miongoni mwa maaskofu bora wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wanaojua wajibu wao kwa Mungu na wanadamu. Ni Daktari wa Falsafa huyu. Wengine ni Dr. Frederick Shoo, na Dr. Stephen Munga. Wao habari ya kujikomba kwa watawala hawana kabisa. Ni neno tu, Mungu tu, Yesu tu. Hongera kwao na bila shaka Mungu atawabariki wao, waumini wao, kanisa lao, na zaidi sana uzao wao.
 
Nahisi kwa Askofu Bagonza, kitakachofuata ni kuchunguzwa uraia wake.
P
Sawa,ila hivi huwa unapata wapi nguvu ya kumsifu Bwana yule pale anapopuliza baada ya kung'ata watu kwa makusudi?

Hivi hujui kuwa huwa anapuliza ili kufunika maovu yake?

Baada ya muda(lengo la kuwakomoa kwa kuwaweka walikowaweka likitimia) kisha akaja akasema wakiri makosa na waachiwe, utaacha kumsifu?
 
Sawa,ila hivi huwa unapata wapi nguvu ya kumsifu pale anapopuliza baada ya kung'ata watu kwa makusudi?

Hivi hujui kuwa huwa anapuliza ili kufunika maovu yake?
Mimi ni realist, kwenye mazuri nasifu.
Jee una uthibitisho wowote wa uovu au hisia tuu?.
P
 
Bottom line ni kwamba kila kiongozi anawekwa na Mungu. Awe mzuri au mbaya Mungu ndiye unayejua. Tunaweza kumhukumu kumbe anafanya mapenzi ya Mungu kutunyoosha ili tuweze kumtafuta Mungu.

Hakuna Mungu wa hivyo Mkuu ,pia usichanganye Tabia binafsi za Wanadamu na Ukuu wa Mungu.
 
31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom