Askofu Bagonza Kukwama Uaskofu Mkuu KKKT

Bwana Yesu asifiwe!

Ndugu wakristo; nawasalimu katika jina la Bwana Wetu, Yesu Kristo

Kama mnavyofahamu, Kanisa lina jambo zito mikononi kwa sasa. Viongozi wetu wamekutana ili kumuomba Mungu ashushe baraka zake zaidi katika Kanisa letu la Kiinjili La Kilutheri Tanzania.

Wamekutana kutekeleza majukumu yao ya kikanisa lakini pia kutekeleza takwa la kikatiba (Katiba ya KKKT – toleo la mwaka 2011) ambalo linahitaji kuwepo kwa mkutano mkuu.

Viongozi wetu pamoja na kupokea ripoti mbalimbali za kanisa, watamchagua kiongozi mkuu wa kanisa tarehe 23/08/2019. Kazi ya kumpata mkuu wa kanisa inahitaji maombi.

Tufunge tuombe Mungu ili kiongozi mkuu wa kanisa apatikane katika mazingira ya amani na utulivu. Kiongozi tupewe aliyeletwa na Mungu mwenyewe ili atuongoze katika haki, maadili ya kanisa na tupate matarajio mema ya kufika mbinguni na sio kwenda motoni. Tunafahamu, sala ndio nguzo kuu katika hili na wanadamu tunatimiza tu mambo ambayo tayari mungu amepanga yatokee.

Mimi na familia yangu tumeendelea kupiga magoti kumuomba sana mungu ili miaka minne ijayo tuendelee kuwa katika utulivu mkubwa wa kikanisa na waumini wote tupate huduma nzuri ya kiroho. Haya ya kibinadamu yatatimia endapo kanisa litakuwa na utulivu, maelewano na kutokuwa na migogoro baina yetu kama washarika wa KKKT.

Hekima, unyenyekevu, umakini, uadilifu na kuwa mtu wa maombi ni sehemu ya sifa ya kiongozi anayetakiwa katikati yetu hivi sasa.

Nimekaa na mkuu wa kanisa anayemaliza muda wake hivi sasa, ndugu yangu baba Askofu Dr. Fredrick Shoo (phd). Miaka minne aliyotuongoza tumejifunza mengi kwake. Tunamshukuru.

Kama alivyosema ndugu yangu Remmy Cameroon wa sauti ya wasio na sauti endapo kutakuwa na mabadiliko, yeye atabaki kuwa Askofu na kijiti hicho atampa askofu mwingine aendelee kuanzia pale alipoishia.

Remmy alisisitiza tarehe 20/08/2019 katika ujumbe wake kwa kanisa kuwa _katiba ya KKKT inaweka bayana kuwa mkuu wa Kkkt ataongoza kwa miaka minne na kama atataka kuchaguliwa tena kwa muhula wa pili atawania nafasi hiyo na kama kuna askofu mwingine atapendekezwa kuwania kiti hicho anaruhusiwa. Iwapo wajumbe hawatamchagua tena Askofu Shoo kwa muhula wa pili halitokuwa tukio geni katika kanisa letu.”

Mambo makubwa ambayo ningependa kuyasema kwa sasa ni kuwa, wanaojitokeza kama mbadala wa shoo basi angalau wawe na vigezo ambavyo mungu ameviweka katika kanisa ili vijidhihirishe machoni pa watu.

Nafahamu, Baba Askofu Dr. Benson bagonza amewahi kuniambia matamanio yake ya kuwa askofu mkuu wa KKKT. Sijui ni lini ila kama ni sasa, naomba mungu atuepushe asikae sasa kwa kuwa bado ana mgogoro mkubwa katika ngazi ya kifamilia.

Tunafundishwa katika kanisa, “ibada njema huanzia nyumbani”. Kitendo cha kumtelekeza mke wake wa pembeni anayeitwa Peace Sylivester ambaye amezaa naye kilimuwekea doa kwa kuwa migogoro ya ndoa kama kiongozi mkuu wa kanisa hataiweza.

Mwanamke huyu anahangaika na watoto, anapiga magoti kuomba misaada lakini baba wa watoto anakaa kivulini kanisani kuhubiri ‘waumini tuwe na mapenzi ya dhati katika familia zetu’. Kama yeye yamemshinda nyumbani, ataweza kuliongoza kanisa kwa miaka minne au nane?

Tunafunga siku ya leo na kesho wakristo ili tupate kiongozi muadilifu, mwenye hofu ya mungu, mwenye kuleta umoja katika kanisa, atakayetuongoza kutatua migogoro iliyopo ndani na nje ya kanisa ili kkkt nasi tujivunie kuliko kunyooshewa vidole kila siku katika jamii.

Hatupendi kanisa letu lisambaratike baada ya uchaguzi huu mkuu.

Wajumbe wa halmashauri kuu, wajumbe wa mkutano mkuu na baraza la maaskofu tujitafakari, tufanye maamuzi magumu yenye baraka kwa washarika wetu na dayosisi tunazoziongoza. Sisi washarika tunawaombea mtimize wajibu wenu katika kanisa.

Msema kweli mpenzi wa mungu.

Dr. Mwombeki, Kamugisha

Karagwe
Kanisa Katoliki lina utaratibu mzuri sana Polycap Pengo ameondoka kimya kimya na kurithiwa na Yuda Thadeus!
 
wakatoliki huwezi kujua lini wanamchagua rais wao vinginevyo uko kwenye line yao kikao cha uchaguzi hakitangazwi na hii inasaidia kwa kutoingiliwa na watawala kwa kiasi fulani kupendekeza rais wa baraza la maskofu.
huwezi kuta habari za uchaguzi kwenye magazeti mpaka apatikane
 
ASKOFU SHOO ANATOSHAA NA AMANI YA BWANA ITAWALE

Uyo shoo apumzke amefanya kanisa ligawanyike ni taabu tupu
Boganza naye Sioni kitu pale siasa nyingi
 
Yanatusaidia nini haya uliyoyaandika! Kwani sisi tunapiga kura? kwa bahati mbaya sana wewe ndio unaendeleza chuki na kutuchafua wana KKKT wote. Wanaopiga kura wako Makumira wewe unaleta siri za ndani huku mitandaoni? Hata kama uliyoyaandika ni ya kweli, unadhani hii ni njia sahihi ya kufikisha ujumbe wako? Sisi wana KKKT hatuhitaji chuki zenu wala malumbano yenu. Tunachotaka ni kiongozi ambaye atasimamia umoja na mshikamano wa kanisa, amani na utulivu na kuruhusu uhuru wa kumwabudu Mungu katika Roho na Kweli. Haya malumbano na kuchafuana hayana maana kwa sababu mnataka kuwaaminisha hata ambao si wana KKKT kuwa sisi sote ni wachafu.

Acha Mungu achague mpakwa mafuta wake. Yeyote kati ya Maaskofu wetu 26 anaweza kuliongoza kanisa. Tujiepushe na kampeni hasa za maji taka. Mungu hajashindwa kutupa kiongozi kiasi hicho.
 
Wewe kwanza umetumwa kumchafua Dr. Bagonza.
Pili wewe siyo KKKT, na maombi unayofanya na familia yako ni Kazi bure kama unaunafiki wa namna hyo.
 
Tunafundishwa katika kanisa, “ibada njema huanzia nyumbani”. Kitendo cha kumtelekeza mke wake wa pembeni anayeitwa Peace Sylivester ambaye amezaa naye kilimuwekea doa kwa kuwa migogoro ya ndoa kama kiongozi mkuu wa kanisa hataiweza.
Mko vizuri sana wana KKKT kumbe huwa kuna mke wa pembeni!
 
rais wa baraza la maskofu.
huwezi kuta habari za uchaguzi kwenye magazeti mpaka apatikane
Mkuu, miaka kadhaa nyuma Tulikuwa Mgahawani Turin, Tukaona maandamano na askari wengi wanatawanya raia, wameshika mabango Sote hatukuweza kuelewa Ujumbe ulioandikwa kwenye Mabango, ilikuwa kitaliano nadhani, ndipo tulimuuliza aliyekuwa anahudumia meza yetu akatuambia kwamba ni maandamano ya Catholics walikuwa wanataka mtu wao, halafu ni kama Huko kwa papa wamepitisha Jina Lingine. Kuna baadhi ya member wapo Humu na tulikuwa nao, Nadhani wakiona Comment hii watakumbuka kilichotokea kule.

Hivyo basi; Kwa Perspective yako uko sawa kabisa; Ila perspective yako Reality. Kwa Tanzania inawezekana kukawa hakuna Shida ila Kuna; So nadhani usiconclude moja kwa moja kwa ukatoliki; Bora Ukasema kwa Katoliki ya Tanzania; Maana kwenye sehemu zingine inawezekana hujawahi ona.

Sorry, nlipoona comment yako nikakumbuka hii situation, nikasema nikupatie ili tupeane details kidogo.
 
Wamwache Shoo amalizie ngwe yake ,japo naye ni mkaskazini sana
Vyovyote iwavyo poa tu ,kama ataingia Bagonza au aendelee Shoo ,sema Shoo akumbuke kanisa sio Kaskazini pekee ni Tanzania nzima
Inaelekea leo haukumskia akikemea ukanda na visasi, wewe bado unaviendeleza.
 
Kwani kuwa 'mkaskazini' ni kosa?

Ni lini Dr.Shoo aliwahi kusema kanisa ni Kaskazini pekee?
Kuna vitu huwezi kuelewa tutapotezeana muda tu

Wewe elewa ulivyo elewa ,kama umeshindwa kusoma katikati ya mistari sina namna ya kulielezea hilo ,wahusika wanaelewa nimeongelea nini.
 
Usijifiche kwenye kusoma katikati ya mistari,kuna mistari umeificha ambayo wengine wanaona mimi sioni au ni miwani yangu mbovu?

Tatizo ni kuja hapa kutapika vimaneno ambavyo hata ukiombwa uthibitishe japo kwa 1% tu huwezi.

Ona sasa umeshindwa kutoa uthibitisho umebaki kulialia 'wahusika wahusika'.
 
Back
Top Bottom