Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,618
Wamesharikoroga hujaona nchimbi anamshangaa mwema, ccm hamjielewi poleni sana
Wamesharikoroga hujaona nchimbi anamshangaa mwema, ccm hamjielewi poleni sana
kwa kifupi ni kwamba, kile chuo mimi ni mmoja wapo wa watu tuliochangia kukijenga, kipindi hicho bado nilikuwa nasali lutheran. nilihama lutheran lakini hadi leo hii bado nampongeza sana askofu mdegella wa iringa kwa kujenga chuo kile na shule zingine nyingi sana kule iringa na mikoa meingine. tulichanga kabisa, na sadaka zilitolewa ndo maana wewe ulienda kusoma pale, hukujua chuo kile kilitoka wapi, ila kwa kifupi ni kwamba hadi masikini wa vijijini walichanga kwaajili ya kile chuo tena kwa moyo bila kulazimishwa na sadaka zetu nyingi zilienda kujenga chuo kile ambacho wanaasoma walutheran, waislam, walokole,wakatoliki etc...pamoja na kwamba waliochangishwa mara ya kwanza na kukijenga chuo kile walikuwa walutheran peke yao...ndo maana tunasema wakristo tunao uwezo wa kujiendesha sisi wenyewe kwasababu tumefundishwa kutoa kwa moyo kujenga shule au hata kusaidia masikini sio kama watu wengine ambao wanaomba majengo ya tanesco ambayo yako tayari waingie kuanzisha chuo...kulialia hadi lini?kama wewe ulifeli vyuo vingine ukalazimika kwenda Tumaini, nani alikwambia ufeli? si ungeenda udsm kama una ubavu? hapo kwenda tumaini ulikuwa unasaidiwa tu kusoma chuo ambacho hukuchangia hata senti moja kukijenga ukijua kuwa pale kile chuo hakina mfadhili yeyote zaidi ya ada hizo na sadaka za walutheran ndo zinalipa malecturer wenu wanaofundisha watu wa dini zote. majengo mapya yatatoka wapi? unafikiri watabaki kulalama tuuu kuomba msaada wasaidiwe na selikali kama watu wengine? noooo, cha muhimu ni kujifunza kuwa na moyo wa kuchangia kujenga kitu kwenye jamii yetu kwasababu kitasaidia watu wetu...acha mkono wa birika, utakufa masikini.hutabarikiwa kwasababu ya kuwa mchoyo kutoa kwa watu wengine au kutoa kwaajili ya ujenzi wa jamii yako.[/uta]
sio bure unatafuta bwana,,,,,,,,,nyeg* zimekushika
mtoa mada jieleze vzr tukuelewe, inawezekana una hoja ya msingi ila punguza hasira na panga maneno yako vzr utaeleweka.
He kumbe anamaanisha michango inayoombwa kwa ajili ya chuo!!! Kwani mchango unalazimishwa!! Umemjibu vyema. Mimi pia ni Mlutheri na kilipoanza tulikuwa tunatoa sadaka kila jpili na sitegemei kwenda kusoma Tumaini kwani nilishamaliza na mimi napenda degree za UDSM. Nazithamini kweli sijui kwa nini labda kasumba. Huyu hajasoma UDSM ndio maana zero!!!
Graduate wa UDSM huyu acha kumdhalilisha bana inawezekana mlikua faculty moja na alikufunika. hahahahaa. Wenyewe kwa wenyewe mnakataana. Chezea kudesa degree cku hizi. Degree za kizazi cha facebook na supra.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
kwa kifupi ni kwamba, kile chuo mimi ni mmoja wapo wa watu tuliochangia kukijenga, kipindi hicho bado nilikuwa nasali lutheran. nilihama lutheran lakini hadi leo hii bado nampongeza sana askofu mdegella wa iringa kwa kujenga chuo kile na shule zingine nyingi sana kule iringa na mikoa meingine. tulichanga kabisa, na sadaka zilitolewa ndo maana wewe ulienda kusoma pale, hukujua chuo kile kilitoka wapi, ila kwa kifupi ni kwamba hadi masikini wa vijijini walichanga kwaajili ya kile chuo tena kwa moyo bila kulazimishwa na sadaka zetu nyingi zilienda kujenga chuo kile ambacho wanaasoma walutheran, waislam, walokole,wakatoliki etc...pamoja na kwamba waliochangishwa mara ya kwanza na kukijenga chuo kile walikuwa walutheran peke yao...ndo maana tunasema wakristo tunao uwezo wa kujiendesha sisi wenyewe kwasababu tumefundishwa kutoa kwa moyo kujenga shule au hata kusaidia masikini sio kama watu wengine ambao wanaomba majengo ya tanesco ambayo yako tayari waingie kuanzisha chuo...kulialia hadi lini?kama wewe ulifeli vyuo vingine ukalazimika kwenda Tumaini, nani alikwambia ufeli? si ungeenda udsm kama una ubavu? hapo kwenda tumaini ulikuwa unasaidiwa tu kusoma chuo ambacho hukuchangia hata senti moja kukijenga ukijua kuwa pale kile chuo hakina mfadhili yeyote zaidi ya ada hizo na sadaka za walutheran ndo zinalipa malecturer wenu wanaofundisha watu wa dini zote. majengo mapya yatatoka wapi? unafikiri watabaki kulalama tuuu kuomba msaada wasaidiwe na selikali kama watu wengine? noooo, cha muhimu ni kujifunza kuwa na moyo wa kuchangia kujenga kitu kwenye jamii yetu kwasababu kitasaidia watu wetu...acha mkono wa birika, utakufa masikini.hutabarikiwa kwasababu ya kuwa mchoyo kutoa kwa watu wengine au kutoa kwaajili ya ujenzi wa jamii yako.
sioni la kuchangia maana sijaelewa hata mleta mada anamaanisha nini! Wasomi wa leo hata kujieleza ni shida! sijui ni matokeo ya shule za kata?
kwa kifupi ni kwamba, kile chuo mimi ni mmoja wapo wa watu tuliochangia kukijenga, kipindi hicho bado nilikuwa nasali lutheran. nilihama lutheran lakini hadi leo hii bado nampongeza sana askofu mdegella wa iringa kwa kujenga chuo kile na shule zingine nyingi sana kule iringa na mikoa meingine. tulichanga kabisa, na sadaka zilitolewa ndo maana wewe ulienda kusoma pale, hukujua chuo kile kilitoka wapi, ila kwa kifupi ni kwamba hadi masikini wa vijijini walichanga kwaajili ya kile chuo tena kwa moyo bila kulazimishwa na sadaka zetu nyingi zilienda kujenga chuo kile ambacho wanaasoma walutheran, waislam, walokole,wakatoliki etc...pamoja na kwamba waliochangishwa mara ya kwanza na kukijenga chuo kile walikuwa walutheran peke yao...ndo maana tunasema wakristo tunao uwezo wa kujiendesha sisi wenyewe kwasababu tumefundishwa kutoa kwa moyo kujenga shule au hata kusaidia masikini sio kama watu wengine ambao wanaomba majengo ya tanesco ambayo yako tayari waingie kuanzisha chuo...kulialia hadi lini?kama wewe ulifeli vyuo vingine ukalazimika kwenda Tumaini, nani alikwambia ufeli? si ungeenda udsm kama una ubavu? hapo kwenda tumaini ulikuwa unasaidiwa tu kusoma chuo ambacho hukuchangia hata senti moja kukijenga ukijua kuwa pale kile chuo hakina mfadhili yeyote zaidi ya ada hizo na sadaka za walutheran ndo zinalipa malecturer wenu wanaofundisha watu wa dini zote. majengo mapya yatatoka wapi? unafikiri watabaki kulalama tuuu kuomba msaada wasaidiwe na selikali kama watu wengine? noooo, cha muhimu ni kujifunza kuwa na moyo wa kuchangia kujenga kitu kwenye jamii yetu kwasababu kitasaidia watu wetu...acha mkono wa birika, utakufa masikini.hutabarikiwa kwasababu ya kuwa mchoyo kutoa kwa watu wengine au kutoa kwaajili ya ujenzi wa jamii yako.[/uta]
sio bure unatafuta bwana,,,,,,,,,nyeg* zimekushika
umeandika as if hicho chuo wanachuo hawalipi ada.... MTU ANATOA ADA ANANUNUA TAALUMA... sio msaada ule.. Ila kondoo wa bwana wewe una mitusi na mjivuni(ukitoa kwa moyo usuhadithie wala kujisifia).... N:B PUNGUZA UDINI MKUU
kuna haja ya kuwa na jukwaa jipya...
"JF WEHU"
"Amchukiae ndg yake ni muuaji" Ninaona chuki binafsi kwa Malasusa. Ingawa pia sio yeye peke yake anayepanga ada za hiki chuo. Unapomchukia mwenzako kuwe na sababu au bila sababu ni sawa na kuwa muuaji. Kwa hiyo usimnyoshee mwenzako kidole kimoja wakati vitatu vinakuelekea wewe.
Ahaa , baada ya ile plan yenu ya kumfanya asiwe re-elected in 2009 kufail ndo wamekutuma kuja kuandika haya mkuu, i know the plan very well but sadly enough it failed..poleni sana..he will continue to be painful kwa magogoni mpaka kieleweke..
askofu malasusa ni mtu anayeheshiwa sana kwenye jamii ana hoja anapodai utawala wa sheria .ila wewe hujamuelewa kutokana na kushindwa kuchambua ni ni maana ya utawala wa sheria,