TABORA EA POLYTECHNIC NA UKIRITIMBA

bahatibahati

Member
Jul 4, 2023
15
22
CHUO hiki kimekuwa kikiwazuia wanafhnzi kufanya mitihani hata kama mzazi hajamaliza kiasi kidogo CHA ada KATIKA KATIKA mwezi husika na kupelekea wanafhnzi kupewa mitihani maalumu (special exam) wasipokamilisha ada ya mwezi husika.
Nimepita maeneo ya chuo na kukuta WANACHUO wanahuzuni kubwa.
Hata kama ni chuo CHA private kinapaswa kufuata utaratibu. Wanafhnzi wangezuiwa kufanya mtihani wa mwisho kama ana malimbikizo makubwa.
Wanachuo wanasema pamoja na usumbufu huyo chuo kinatoa elimu nzuri Sana.
Mimi kama mzazi nimeona niliseme hili, wasinyanyase wanafhnzi hao kwa kutokamilisha ada ya Kila awamu. Bali waweze kuwasiliana na wazazi walk.
 
Back
Top Bottom