Askof Malasusa acha kujifanya wewe si muuaji.

Wamesharikoroga hujaona nchimbi anamshangaa mwema, ccm hamjielewi poleni sana

383332_176997189103144_350467657_n.jpg
 
askofu malasusa ni mtu anayeheshiwa sana kwenye jamii ana hoja anapodai utawala wa sheria .ila wewe hujamuelewa kutokana na kushindwa kuchambua ni ni maana ya utawala wa sheria,
 
kwa kifupi ni kwamba, kile chuo mimi ni mmoja wapo wa watu tuliochangia kukijenga, kipindi hicho bado nilikuwa nasali lutheran. nilihama lutheran lakini hadi leo hii bado nampongeza sana askofu mdegella wa iringa kwa kujenga chuo kile na shule zingine nyingi sana kule iringa na mikoa meingine. tulichanga kabisa, na sadaka zilitolewa ndo maana wewe ulienda kusoma pale, hukujua chuo kile kilitoka wapi, ila kwa kifupi ni kwamba hadi masikini wa vijijini walichanga kwaajili ya kile chuo tena kwa moyo bila kulazimishwa na sadaka zetu nyingi zilienda kujenga chuo kile ambacho wanaasoma walutheran, waislam, walokole,wakatoliki etc...pamoja na kwamba waliochangishwa mara ya kwanza na kukijenga chuo kile walikuwa walutheran peke yao...ndo maana tunasema wakristo tunao uwezo wa kujiendesha sisi wenyewe kwasababu tumefundishwa kutoa kwa moyo kujenga shule au hata kusaidia masikini sio kama watu wengine ambao wanaomba majengo ya tanesco ambayo yako tayari waingie kuanzisha chuo...kulialia hadi lini?kama wewe ulifeli vyuo vingine ukalazimika kwenda Tumaini, nani alikwambia ufeli? si ungeenda udsm kama una ubavu? hapo kwenda tumaini ulikuwa unasaidiwa tu kusoma chuo ambacho hukuchangia hata senti moja kukijenga ukijua kuwa pale kile chuo hakina mfadhili yeyote zaidi ya ada hizo na sadaka za walutheran ndo zinalipa malecturer wenu wanaofundisha watu wa dini zote. majengo mapya yatatoka wapi? unafikiri watabaki kulalama tuuu kuomba msaada wasaidiwe na selikali kama watu wengine? noooo, cha muhimu ni kujifunza kuwa na moyo wa kuchangia kujenga kitu kwenye jamii yetu kwasababu kitasaidia watu wetu...acha mkono wa birika, utakufa masikini.hutabarikiwa kwasababu ya kuwa mchoyo kutoa kwa watu wengine au kutoa kwaajili ya ujenzi wa jamii yako.[/uta]

sio bure unatafuta bwana,,,,,,,,,nyeg* zimekushika
 
Jfs now you can continue on with the edited/new version of Askofu Malasusa
 
He kumbe anamaanisha michango inayoombwa kwa ajili ya chuo!!! Kwani mchango unalazimishwa!! Umemjibu vyema. Mimi pia ni Mlutheri na kilipoanza tulikuwa tunatoa sadaka kila jpili na sitegemei kwenda kusoma Tumaini kwani nilishamaliza na mimi napenda degree za UDSM. Nazithamini kweli sijui kwa nini labda kasumba. Huyu hajasoma UDSM ndio maana zero!!!

Graduate wa UDSM huyu acha kumdhalilisha bana inawezekana mlikua faculty moja na alikufunika. hahahahaa. Wenyewe kwa wenyewe mnakataana. Chezea kudesa degree cku hizi. Degree za kizazi cha facebook na supra.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Labda alitaka kusemea juu ya kutokukemea kwa Askofu juu ya BABU WA LOLIONDO!!!

nadhani walikuwa yeye na serikali upande mmoja wa kupnguza idadi ya watu!! Labda!!! namaanisha ule mpango wa babu wa loliondo labda!!!
 
Si wa UDSM huyo. Kama wa UDSM basi DESA! Anaunganishaji utoaji sadaka na uuaji? Kutoa sadaka ni kitu Spiritual:sleepy: na mtu halazimishwi. Sidhani kama Askofu alimlazimisha!! Kwanini alitoa halafu anamsema Askofu ambaye hakuenda mfukoni mwake kuchukua hizo sadaka? Aweke mada yenye ushahidi kwamba Askofu kaua. Hii kuchanganya mada ndio maana anaitwa zero. Usomi wake haumsaidii kitu katika kupambanua mambo.
Graduate wa UDSM huyu acha kumdhalilisha bana inawezekana mlikua faculty moja na alikufunika. hahahahaa. Wenyewe kwa wenyewe mnakataana. Chezea kudesa degree cku hizi. Degree za kizazi cha facebook na supra.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kwa kifupi ni kwamba, kile chuo mimi ni mmoja wapo wa watu tuliochangia kukijenga, kipindi hicho bado nilikuwa nasali lutheran. nilihama lutheran lakini hadi leo hii bado nampongeza sana askofu mdegella wa iringa kwa kujenga chuo kile na shule zingine nyingi sana kule iringa na mikoa meingine. tulichanga kabisa, na sadaka zilitolewa ndo maana wewe ulienda kusoma pale, hukujua chuo kile kilitoka wapi, ila kwa kifupi ni kwamba hadi masikini wa vijijini walichanga kwaajili ya kile chuo tena kwa moyo bila kulazimishwa na sadaka zetu nyingi zilienda kujenga chuo kile ambacho wanaasoma walutheran, waislam, walokole,wakatoliki etc...pamoja na kwamba waliochangishwa mara ya kwanza na kukijenga chuo kile walikuwa walutheran peke yao...ndo maana tunasema wakristo tunao uwezo wa kujiendesha sisi wenyewe kwasababu tumefundishwa kutoa kwa moyo kujenga shule au hata kusaidia masikini sio kama watu wengine ambao wanaomba majengo ya tanesco ambayo yako tayari waingie kuanzisha chuo...kulialia hadi lini?kama wewe ulifeli vyuo vingine ukalazimika kwenda Tumaini, nani alikwambia ufeli? si ungeenda udsm kama una ubavu? hapo kwenda tumaini ulikuwa unasaidiwa tu kusoma chuo ambacho hukuchangia hata senti moja kukijenga ukijua kuwa pale kile chuo hakina mfadhili yeyote zaidi ya ada hizo na sadaka za walutheran ndo zinalipa malecturer wenu wanaofundisha watu wa dini zote. majengo mapya yatatoka wapi? unafikiri watabaki kulalama tuuu kuomba msaada wasaidiwe na selikali kama watu wengine? noooo, cha muhimu ni kujifunza kuwa na moyo wa kuchangia kujenga kitu kwenye jamii yetu kwasababu kitasaidia watu wetu...acha mkono wa birika, utakufa masikini.hutabarikiwa kwasababu ya kuwa mchoyo kutoa kwa watu wengine au kutoa kwaajili ya ujenzi wa jamii yako.

Nikuulize kile kiwanja kikuuubwa kilichochukuliwa na Tanesco pale shule ya mnazi mmoja mpaka bibi titi kilikuwa cha nani? SIO CHA BAKWATA? serikali iwadhulumu waislamu wakidai haki zao wanapewa sio? unanchekesha !
 
sioni la kuchangia maana sijaelewa hata mleta mada anamaanisha nini! Wasomi wa leo hata kujieleza ni shida! sijui ni matokeo ya shule za kata?

Yawezekana tatizo liko kwako, uwezo wako wa kuelewa ni mdogo. Pia sio lazima uchangie kwenye kila mada. Dont say because you have to say something instead say when you have something to say
 
kwa kifupi ni kwamba, kile chuo mimi ni mmoja wapo wa watu tuliochangia kukijenga, kipindi hicho bado nilikuwa nasali lutheran. nilihama lutheran lakini hadi leo hii bado nampongeza sana askofu mdegella wa iringa kwa kujenga chuo kile na shule zingine nyingi sana kule iringa na mikoa meingine. tulichanga kabisa, na sadaka zilitolewa ndo maana wewe ulienda kusoma pale, hukujua chuo kile kilitoka wapi, ila kwa kifupi ni kwamba hadi masikini wa vijijini walichanga kwaajili ya kile chuo tena kwa moyo bila kulazimishwa na sadaka zetu nyingi zilienda kujenga chuo kile ambacho wanaasoma walutheran, waislam, walokole,wakatoliki etc...pamoja na kwamba waliochangishwa mara ya kwanza na kukijenga chuo kile walikuwa walutheran peke yao...ndo maana tunasema wakristo tunao uwezo wa kujiendesha sisi wenyewe kwasababu tumefundishwa kutoa kwa moyo kujenga shule au hata kusaidia masikini sio kama watu wengine ambao wanaomba majengo ya tanesco ambayo yako tayari waingie kuanzisha chuo...kulialia hadi lini?kama wewe ulifeli vyuo vingine ukalazimika kwenda Tumaini, nani alikwambia ufeli? si ungeenda udsm kama una ubavu? hapo kwenda tumaini ulikuwa unasaidiwa tu kusoma chuo ambacho hukuchangia hata senti moja kukijenga ukijua kuwa pale kile chuo hakina mfadhili yeyote zaidi ya ada hizo na sadaka za walutheran ndo zinalipa malecturer wenu wanaofundisha watu wa dini zote. majengo mapya yatatoka wapi? unafikiri watabaki kulalama tuuu kuomba msaada wasaidiwe na selikali kama watu wengine? noooo, cha muhimu ni kujifunza kuwa na moyo wa kuchangia kujenga kitu kwenye jamii yetu kwasababu kitasaidia watu wetu...acha mkono wa birika, utakufa masikini.hutabarikiwa kwasababu ya kuwa mchoyo kutoa kwa watu wengine au kutoa kwaajili ya ujenzi wa jamii yako.[/uta]

sio bure unatafuta bwana,,,,,,,,,nyeg* zimekushika

umeandika as if hicho chuo wanachuo hawalipi ada.... MTU ANATOA ADA ANANUNUA TAALUMA... sio msaada ule.. Ila kondoo wa bwana wewe una mitusi na mjivuni(ukitoa kwa moyo usuhadithie wala kujisifia).... N:B PUNGUZA UDINI MKUU
 
kuna haja ya kuwa na jukwaa jipya...
"JF WEHU"

Its true and you will be the first to register. If you can not see this naked theft, then what should we call you, than what you have suggested. WEHU
 
"Amchukiae ndg yake ni muuaji" Ninaona chuki binafsi kwa Malasusa. Ingawa pia sio yeye peke yake anayepanga ada za hiki chuo. Unapomchukia mwenzako kuwe na sababu au bila sababu ni sawa na kuwa muuaji. Kwa hiyo usimnyoshee mwenzako kidole kimoja wakati vitatu vinakuelekea wewe.

Mh!! muuaji ni yule aliyepewa jukumu la kuingoza jamii, lakini kinyume chake akageuka mwiba akawachoma anaowaongoza
 
Tumekusoma mkuu japo wengi wetu ndo tuna jazba zaidi yako kisa kaongelewa kiongozi fulani...Points zako hazitapita iviivi kwani ufisadi unaoendelea kwenye sadaka/karo za kufuru ni aibu tosha leo tunaona kesi mf KAKOBE na wenzake kinachojificha nyuma ni aibu...Sema tu mtoa mada angeanzisha thread isiyohusiana na mauaji ya muandishi lakini kuna points fulanifulani.....
 
Ahaa , baada ya ile plan yenu ya kumfanya asiwe re-elected in 2009 kufail ndo wamekutuma kuja kuandika haya mkuu, i know the plan very well but sadly enough it failed..poleni sana..he will continue to be painful kwa magogoni mpaka kieleweke..
 
Nafurahi kukujulisha kuwa hapa sijaongelea hivyo vyeo vyenu na madaraka. Point yangu hapa ni tozo la Tsh.1M/= per year per student in all his/her years life at Tumaini University-Kurasini campus. (e.g 3M/= for 3 years, 2M/= per2 years and 1M/= if he/she will spend a year only in the University pending annual tuition fee of 1.5M/=).

Umezoea kubishanania vyama nini? Make hata pale penye ukweli ulisha zoea Chama..., basi huona serikali haijafanya kitu. Masuala ya dini (ya Kaisari) hayanihusu. Nikitaka dini nitakuuliza swali moja tu, je, Askofu anajua kuwa kila mtu anayehesabiwa (Sensa) torati inamtaka ailipe serikali? Basi.
 
askofu malasusa ni mtu anayeheshiwa sana kwenye jamii ana hoja anapodai utawala wa sheria .ila wewe hujamuelewa kutokana na kushindwa kuchambua ni ni maana ya utawala wa sheria,

Sijakataa, sheria huenda anaijua yeye na wewe saana lakini sheria ya kukusanya 900,000,000/= per annum without doing any development to the site ndiyo sheria/ Wale watoto wanasoma ktk mazingira magumu, For more than 5 yrs now the church is collecting the same amount without caring whether the children are studing in which condition. Wanajengo moja tu. Pembeni kwaya ya kanisa iko mazoezini ikipiga sauti juu kwa musical instruments. Hayo ndiyo Mazingira ya chuo kikuu?
Website inaonyesha bonge la kampasi huko kinondoni, lakini ukifika pale unashangaa. Madarasa yamejaa madawati utadhani stoo ya vyuma chakavu. Cant this leader do something? Mbingu zitawashtaki kwa hili.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom