wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,008
- 28,342
Kweli mkuu tena serikal iwe makini na hawa waliopo mtaani sio wastaafu tuu hata j.k.t huko mitaani wamejaa na hawana kazi huwezi jua malengo yao maana kila mtu na moyo wake kwa mfano chukulia wale waliokuwa wanaandamana pale jangwani kuomba ajira saa hibi wako wapiUnadhani Majambazi ni Simba kwa hiyo wanawinda kwa ukoo mmoja? Askari mmoja tu anaweza fundisha bunduki watu elfu na ikawa hatari sana.
Kumbuka yule wa Magereza aliyeongoza kuvamia Sitakishari alivyowadungua
