Huyo trafiki mwanaume ni jinga kabisa! Yani na ukongwe wake wote wa zaidi ya miaka 10 force ameshindwa kujua athari za kupigwa picha?
Namba Foxy(F) anafanya mambo kama ya ma (Hiro) bhana! Mwanzoni nilijua ni hili depo jipya kumbe mkongwe kabisa.
Hata huyo WP na alie wapiga picha ni watu wa muda wote ni (Golf) ila nao wamefanya upuuzi wa kupindukia. Sasa sijui wataficha wap sura zao? Ndio mapenzi upofu ama nini?
Sasa waende kampuni za ulinzi wakaanze upya maisha, pia inawezekana jamii imezawadiwa majambazi wapya! Kwa huu ugumu wa ajira sijui wataishi vipi na walishazoea kupiga mabao ya notifications barabarani.
Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
hii nayo ccp,c_coy