Naona zimeanza propaganda za anti-Kagame. Watakuja FAR and interahamwe sympathizers sasa hivi hapa. Oh well tusubiri tusikie habari kamili. Lakini nina wasiwasi sana na ukweli katika hili. Pres Kagame ni kiongozi makini sana. Napata taabu kuamini kuwa anaweza akapotoka kiasi cha kutaka kuishambulia Tanzania. Hana jeuri hiyo. Mwenzi wake Maj. Buyoya alitaka kujaribu miaka ya nyuma, TPDF wakamwambia tutaingia Bujumbura in an hour, akanywea (and he had legitimate reasons to attack because CNDD-FDD and other Hutu rebels were using parts of Tanzania as rear bases and were "allegedly" supplied arms by "some" Tanzanian big wigs). Oh well, tuombe amani kwani vita ni ya kuisikia tu.