Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,991
- 144,326
Wacha JWTZ waingie kazini maana hawana kazi na ndio sababu waligeuza operesheni tokomeza ujangili kama uwanja wa vita kwa kuua,kutesa na kudhalilisha raia.Wacheni wakamalize kiu yao maana wana miaka mingi wamekaa "idle" tu.