Naona zimeanza propaganda za anti-Kagame. Watakuja FAR and interahamwe sympathizers sasa hivi hapa. Oh well tusubiri tusikie habari kamili. Lakini nina wasiwasi sana na ukweli katika hili. Pres Kagame ni kiongozi makini sana. Napata taabu kuamini kuwa anaweza akapotoka kiasi cha kutaka kuishambulia Tanzania. Hana jeuri hiyo. Mwenzi wake Maj. Buyoya alitaka kujaribu miaka ya nyuma, TPDF wakamwambia tutaingia Bujumbura in an hour, akanywea (and he had legitimate reasons to attack because CNDD-FDD and other Hutu rebels were using parts of Tanzania as rear bases and were "allegedly" supplied arms by "some" Tanzanian big wigs). Oh well, tuombe amani kwani vita ni ya kuisikia tu.
Umakini wa PK ni kwa faida ya Wananchi wake
Wamewashambulia raia? Au wanajeshi? Mwenye tetesi atujuze juu ya jambo hili!
umeharibu uzi wako ulipoandika "kagame ni kiongozi makini sana" nimekudharau.
Hii ni kweli kabisa mkuu.Enzi za Ben Mkapa alikuwa anawapa kichapo hao wavamizi kimya kimya...
Haya sasa, Mkulo yupo U.S,wa kuithnisha pesa yupo South, wa kuruhusu jeshi ameshajiuzulu! Itakuwa majanga!