Askari wa Polisi na JKT watwangana Tabora

Hawa askari wa taifa hili wapumbavu sana, km vitu hawawezi kumudu kuvinunua kisa mfumuko wa bei ambao chadema kimekuwa kinaupinga kwa nguvu zote waiadabishe serikali na sio kutusumbua sisi wananchi. Wajipange na mkuu wao wampindue jk kuonesha kweli wana hasira
 
Habari ambazo zimepatikana muda huu toka Tabora zinasema kumetokea fujo kubwa baada ya wanajeshi wa JKT kuleta fujo baada ya kutaka kupunguziwa bidhaa walipofika katika duka moja mitaa ya sokoni.Muuza duka huyo alipokataa ndipo walipoanza fujo na kurusha risasi na taarifa za awali zinasema mtu mmoja amekufa kutokana na majeruhi ya risasi!

Source: wakazi wa Tabora
Hivi kumbe serikali yao wanayoikumbatia haiwapi posho za kutosha?
 
Hawa askari wa taifa hili wapumbavu sana, km vitu hawawezi kumudu kuvinunua kisa mfumuko wa bei ambao chadema kimekuwa kinaupinga kwa nguvu zote waiadabishe serikali na sio kutusumbua sisi wananchi. Wajipange na mkuu wao wampindue jk kuonesha kweli wana hasira

wapumbavu tena si kitoto.

hizo risasi zao si wangeenda kuzitumia Libya kuwafurusha NATO na kumuokoa Qaddafi.
 
Hakuna askari wanaofanya upuuzi huo. Itakuwa ni wahuni walioamua kulichafua jeshi la polisi.
 
Habari ambazo zimepatikana muda huu toka Tabora zinasema kumetokea fujo kubwa baada ya wanajeshi wa JKT kuleta fujo baada ya kutaka kupunguziwa bidhaa walipofika katika duka moja mitaa ya sokoni.Muuza duka huyo alipokataa ndipo walipoanza fujo na kurusha risasi na taarifa za awali zinasema mtu mmoja amekufa kutokana na majeruhi ya risasi!

Source: wakazi wa Tabora

mkuu naomba niku correbt kidogo.jkt hawajarushara risasi,waliorusha risasi ni police almaruf PT,A.K.A TIGO FASTER.wale jkt walikuja shoping bus zima,walipotaka kuondoka baada ya kutembeza kichapo kwa polis na raia,ikabidi polisi washoot tairi la na kuwazingira wana jkt na kuwapeleka kituoni.
 
Hao JKT wajinga sana,kwan huyo mfanyabiashara ndo kasababisha mfumko wa bei?waende magogoni wamtoe huyo aliyesema ukitaka kula lazima uliwe!
 
Nimeshamaliza kufuatilia na usiku huu nitapandisha habari na picha, incase modrm hazitanizingua
 
mbwembwe tu hizo za jesh lenu hapo wanapiga jaramba ili wahamie kwa raia hako ndo kasababu
 
...Source: wakazi wa Tabora
Sukari bei gani? Elfu nne. Tupunguzie mkuu. Hapana afande siwezi, ndo bei yake. Punguza kidogo bana. Itakuwa ngumu aisee, bei ya jumla iko juu hakuna faida. Anhaa, hutaki? Afande Marwa muue! Dishwaa....dishwaa... dishwaa....dishwaa.....!

Kuna kitu kinaitwa common sense, vitu vingine ukisikia tu unajua ni kimetungwa. Hadithi ni ya uongo!
 
Kama raia wanasidia JKT, basi maovu ya polisi yamekithiri na watu wanaona ni nafasi pekee ya kulipiza kisasi. Polisi kuwa adui na raia ni kwa ajili ya rushwa tu. jamani kama wewe ni polisi au unajamaa yako ni polisi basi waambieni waache rushwa, kwani vilio vya watu haviwaombei mema kwa Mungu!
 
Askari 50 wa JKT TAYARI WAMESHAKAMATWA NA KESHO JUMATATU WATAFIKISHWA MAHAKAMANI KUJIBU MASHITAKA.
 
Askari 50 wa JKT TAYARI WAMESHAKAMATWA NA KESHO JUMATATU WATAFIKISHWA MAHAKAMANI KUJIBU MASHITAKA.
Conflict zinazohusisha majeshi ni lazima zibebwe kwa umakini mkubwa yasije ya south afrika pale askari polisi walipovamia kambi ya jeshi kulipa kisasi wakiwa na silaha!! Ni aibu majeshi kukoseana heshima.
 
waliokamatwa ni askari waliokuwa wanapata mafunzo toka JKT.Hata JWTZ waliwasaidia POLISI KUKAMATA Watoto wa JKT
 
Back
Top Bottom