Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,689
- 26,570
- Thread starter
- #21
Utashangaa vyombo vya habari hususani TBC watakavoiminyia habari hiyo!
Hilo litegemeeni sana, kwani niliuwa karibu na mwandishi fulani, nilisikia akiomba mwongozo kupitia simu yake kuwa aiwekeje hiyo habari