Askari wa kike na kiume kulala chumba kimoja inakuwaje?

Askari wa kike na kiume kulala chumba kimoja inakuwaje?

Magerezan mbona wanalala watu wa Jinsia Moja bado wanatinduana kama mume na Mke! Serikal haihusiki na uhifadhi wa tupu za Askari ni jukumu lao wenyewe.
 
Mleta mada umemuelewa?

Habari wadau,

Mimi ni mzalendo halisi hapa Tanzania, nimeshuhudia kwa miaka mingi Askari wanaosimamia mitihani ya taifa kidato cha nne na sasa cha pili wakiripoti kituoni wanawekewa godoro/magodoro kwenye chumba kunapohifadhiwa mitihani ili wailinde kwa kipindi chote cha ufanyikaji mitihani.

Hapa kuna uwezekano wa mtifuano mkubwa kutokea bila ya kutegemea, ingekuwa vema askari wa jinsi moja ndo wapangiwe kituo kimoja na si vinginevyo. Inaniuma sana hii kitu, Serikali tunaomba muingilie kati kuondoa aibu hii.

Mubarikiwe waungwana.

Huo ni udhaifu wako, usifikiri wengine wana madhaifu kama yako
 
Back
Top Bottom