Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,543
Habari wadau,
Mimi ni mzalendo halisi hapa Tanzania, nimeshuhudia kwa miaka mingi Askari wanaosimamia mitihani ya taifa kidato cha nne na sasa cha pili wakiripoti kituoni wanawekewa godoro/magodoro kwenye chumba kunapohifadhiwa mitihani ili wailinde kwa kipindi chote cha ufanyikaji mitihani.
Hapa kuna uwezekano wa mtifuano mkubwa kutokea bila ya kutegemea, ingekuwa vema askari wa jinsi moja ndo wapangiwe kituo kimoja na si vinginevyo. Inaniuma sana hii kitu, Serikali tunaomba muingilie kati kuondoa aibu hii.
Mubarikiwe waungwana.
Hapo sijakuelewa kinachokuuma ni nini? umetifuliwa nini?