Askari wa kike na kiume kulala chumba kimoja inakuwaje?

emkey

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
728
Reaction score
137
Habari wadau,

Mimi ni mzalendo halisi hapa Tanzania, nimeshuhudia kwa miaka mingi Askari wanaosimamia mitihani ya taifa kidato cha nne na sasa cha pili wakiripoti kituoni wanawekewa godoro/magodoro kwenye chumba kunapohifadhiwa mitihani ili wailinde kwa kipindi chote cha ufanyikaji mitihani.

Hapa kuna uwezekano wa mtifuano mkubwa kutokea bila ya kutegemea, ingekuwa vema askari wa jinsi moja ndo wapangiwe kituo kimoja na si vinginevyo. Inaniuma sana hii kitu, Serikali tunaomba muingilie kati kuondoa aibu hii.

Mubarikiwe waungwana.
 
Mbona hakuna kitu kama hiki,umekiona wp ww?
 
Wote wapiganaji mkuu hakuna kipia atawangekua uchi,,kwenye mafunzo porini huwa mnalala handaki moja ke na me na hakuna ata mwili kusisimka
 
Kwani hapo askari ameenda kulala kulinda' hicho ni chumba cha kupumzikia na kulalla
 
Kama wanafanya kwa hiari zao kosa liko wapi hapo? Hata hivyo wamepelekwa kulinda mitihani siyo kulala!
 
Wote wapiganaji mkuu hakuna kipia atawangekua uchi,,kwenye mafunzo porini huwa mnalala handaki moja ke na me na hakuna ata mwili kusisimka

Angekuwa ME au KE wako ndio karundikwa huko usingethubutu kuandika hayo uliyoyaandika
 
Si wameenda kulinda ayo mengine serikali haihusiki na kosa kugegeduana kazini maana ufanisi utapungua tuu
 
Back
Top Bottom