Wanapigana na nani sasa?
Kuwaweka mwanamke na mwanaume kwa wiki mbili lazima kuna uwezekano wa kushawishika kufanya zinaa hata kama hawakupanga kufanya hivyo.
Na wapiganaji.
basi nmeshakuelewa sitajibishana naww tena.
Nibora kama kitu hujui ukae kimya kuliko ukaanza ubishi na ukaonesha ujinga wako mbele ya jamii huku ww ukijiona unajua
Kwa mafunzo na silaha gani walizo nazo? Teh teh.
Kwani unaohisi kuwa wapiganaji nchi hii wana mafunzo gani na siraha gani wanazo!!!???
Umenielewa kumbe!
Sijakuelewa una maana gani mama yangu
askari wakiwa kwenye sare au kazini hawaruhusiwi kua na mhemko. hapo ni kazi tu.Habari wadau,
Mimi ni mzalendo halisi hapa Tanzania, nimeshuhudia kwa miaka mingi Askari wanaosimamia mitihani ya taifa kidato cha nne na sasa cha pili wakiripoti kituoni wanawekewa godoro/magodoro kwenye chumba kunapohifadhiwa mitihani ili wailinde kwa kipindi chote cha ufanyikaji mitihani.
Hapa kuna uwezekano wa mtifuano mkubwa kutokea bila ya kutegemea, ingekuwa vema askari wa jinsi moja ndo wapangiwe kituo kimoja na si vinginevyo. Inaniuma sana hii kitu, Serikali tunaomba muingilie kati kuondoa aibu hii.
Mubarikiwe waungwana.
Hapa tunakataa ukweli tu. Huu ni udhalilishaji tu. Kuwaweka jinsia mbili tofauti chumba kimoja kwa wiki mbili ni kuwavunjia haki zao na kuwatia majaribuni.
Umenielewa kumbe!