Inasemekana polisi ni wasomi kuliko JWTZ.Niutovu wa nidham constebo wa polisi kumzingua jwtz.
Hivi kati ya JWTZ na Polisi kina nani wanafanya kazi kubwa hapa nchini?Lugha za kijeshi hizo hata samia ana jina la mnyama, wapo faru, tembo, poongo na huyo dogo mjeshi ni paka anampa mkwara panya!
Niutovu wa nidham constebo wa polisi kumzingua jwtz.
Naomba popote ukiona jwtz muwanunulie bia
Samia ameutangazia umma kuwa akosolewe tu ili ajirekebishe. Kwahiyo usimuingize kwenye kapu la madiktetaau inamponda samia??
Hujui walianzia wapi hii video ni fupi! kwanza TRAFIKI anakosa adabu kibishana na mtu aliyemzidi cheo mbele ya RAIAKuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi.
Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe".
Kwa utovu huu wa nidhamu uliooneshwa na askari wa JWTZ hatua za kinidhamu na kiutumishi zichukuliwe haraka sana dhidi ya huyu askari wa JWTZ ili kuendelea kulinda hadhi na heshima ya jeshi la wananchi.
View attachment 2482212
Hii January aisee watu wanakuwa na makasiriko aiseee.source gani umeweka?? Unaogopa nini kuiweka hiyo video humu? Ina maudhui ya ngono? au inamponda samia??
Kama haina hivyo vitu na hujaiweka inamaana uzi wako hauna maana yoyote unatakiwa ufutwe tu.
Nimeiona hii video askari amemvumilia sana mm basi zima ningeenda nalo police then from ther ndo ningeona huyu mwamba kalalia wapiVideo ikowapi? Moderator futeni huu upuuzi
Kama ndio kanuni basi upuuzi mtupu huu. Nchi haiwezi kupiga hatua kwa kuingiliana majukumu. Kila mtu abaki na section yake. Huyo JWTZ asulubiwe kama watumishi wengine ili kujenga nidhamu na heshima kwa wafanyakazi wengine bila kujali cheo alichonacho. Kwasababu mfano hapo ikitokea ajali lawama kwa askari wa usalama barabarani wakati kumbe kuna mpuuzi mmoja kwasababu et ni JWTZ.Lugha za kijeshi hizo hata samia ana jina la mnyama, wapo faru, tembo, poongo na huyo dogo mjeshi ni paka anampa mkwara panya!
Niutovu wa nidham constebo wa polisi kumzingua jwtz.
Naomba popote ukiona jwtz muwanunulie bia
Wewe kama nani sasa?Kuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi.
Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe".
Kwa utovu huu wa nidhamu uliooneshwa na askari wa JWTZ hatua za kinidhamu na kiutumishi zichukuliwe haraka sana dhidi ya huyu askari wa JWTZ ili kuendelea kulinda hadhi na heshima ya jeshi la wananchi.
View attachment 2482212
Polisi alikuwa anamuonya dereva lkn yule JWTZ kwa kimbelembele chake tu akaingiliahujui walianzia wapi hii video ni fupi! kwanza TRAFIKI anakosa adabu kibishana na mtu aliyemzidi cheo mbele ya RAIA
Sasa umeridhika mwenzako kupoteza kazi.Huyo alilewa tu.Sasa subiri aanze kutumia taaluma ya kijeshi kutafuta Pesa atajuta kwanini hamkuvumilia MatusiKuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi.
Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe".
Kwa utovu huu wa nidhamu uliooneshwa na askari wa JWTZ hatua za kinidhamu na kiutumishi zichukuliwe haraka sana dhidi ya huyu askari wa JWTZ ili kuendelea kulinda hadhi na heshima ya jeshi la wananchi.
View attachment 2482212
Good! Yaani mtu yupo kazini mnamtilia kibesi??Kama ndio kanuni basi upuuzi mtupu huu. Nchi haiwezi kupiga hatua kwa kuingiliana majukumu.
Mwananchi. Au hujui haki zako ewe chawa?
Cheo kitu gani bwana, fikiria baba yako aliekuzidi cheo na umri akija nyumbani kwako na akaanza kuingilia nafasi yako ukiwa kwako utajisikiaje?hujui walianzia wapi hii video ni fupi! kwanza TRAFIKI anakosa adabu kibishana na mtu aliyemzidi cheo mbele ya RAIA
Na hasa kosa hapa ni la huyu askari wa JWTZ. Kwann aingilie majukumu ya polisi?????Ngome wanamtambua? Ila haijakaa vizuri watu wazima waliaminiwa na nchi kutoleana maneno ya kejeli hadharani.
Lkn ktk hili polisi kaonewa.Police wana lugha mbaya sana, waonevu sana na sio waelewa. wengi wanawaza rushwa tu muda wote na hata wakati mwingine kwa watu wanaofanya nao kazi huwa hawawaheshimu. kifupi polisi huwa sio wa kuwaamini, wote hata kama ni mtoto wako usimwamini,ni mtu anawea kukuchinjia baharini anytime. ndio maana wengi huwa hawaumii moyo kama polisi akitukanwa namna hii. wanaona poa tu. ni kutokana na matendo yao. ni tofauti kabisa na polisi wa mamtoni.