Askari wa barabarani kumpiga dereva faini je amekuwa mahakama?

Askari wa barabarani kumpiga dereva faini je amekuwa mahakama?

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,691
Reaction score
2,303
Hili swala la askari wa barabarani kumpiga faini dereva haliko sawa kwani anakuwa amemhukumu dereva wakati yawezekana mahakamani angeshinda kesi.

Ni vyema sasa mtu afikishwe mahakamani aitwe ajitete kwanza ndipo mahakama itoe adhabu kinyume na hapo ni wizi serikali inafanya kwani makosa mengi yamekuwa ya kubambikwa.
 
Huwa wanajiamria au kuna sheria?
Au unadhani hzo sheria wametunga wao polisi?
Latra je? Tra? Tasac?

Lakini mahakama si hamziamini?
 
  • Kuna Offences ambazo sheria inawaruhusu ku Compound kama sivyo Mahakamani kungejaa sana watu na traffic case ni moja kati ya kesi ndogo sana inakua kubwa kama tuu mtu kafanya uzembe mkubwa wa kuhatarisha maisha ya watu.​
  • NB: Lipa fine au nitumie control number hapa nilimalize.​
CHADEMA mnazingua
 
Kwamba faini ya 30k mkimbizane mahakamani? Serious?
 
Back
Top Bottom