Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,984
- 2,627
Acha kulia lia kaza tena kama ww ni mwanaume kaza sana mbona walimu hawapati posho ya pango manesi hivyo hivyo tena angalau nyie mnapata vijihela mkikamata wavuta bangi kuna siku tulikamatwa kwa kosa la uzururaji tulivyofika polisi tukaambiwa tuachiwe tutoe 40000 tukatoa na tukapewa na bangi mule mule kituoni hawa askari wa bongo wengi ni wahuniAskari Polisi wengi hatupati posho ya pango, I mean house allowance.....licha ya kwamba tumepanga mitaani na kuna ambao wanaishi kota na bado wanapewa posho, kuna upendeleo.
Posho ya pango ni askari wote except wanaoishi kota, sasa cha ajabu mimi nipo nimepanga mtaani lakini posho ya pango wameitoa lakini wengine kama Maafisa wapo kota na wanalipwa.
Safi sana, tena na mshahara upunguziwe mwanahizaya weweAskari Polisi wengi hatupati posho ya pango, I mean house allowance.....licha ya kwamba tumepanga mitaani na kuna ambao wanaishi kota na bado wanapewa posho, kuna upendeleo.
Posho ya pango ni askari wote except wanaoishi kota, sasa cha ajabu mimi nipo nimepanga mtaani lakini posho ya pango wameitoa lakini wengine kama Maafisa wapo kota na wanalipwa.
Heche akiwa anawatetea mlipwe vizuri na mtoke kuishi kwenye FULL SUTI ZA MABATI mnamkamata ,endeleeni kulamba MAKOTA ya abdul na bado hamjasema.Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango, I mean house allowance.....licha ya kwamba tumepanga mitaani na kuna ambao wanaishi kota na bado wanapewa posho, kuna upendeleo.
Posho ya pango ni askari wote except wanaoishi kota, sasa cha ajabu mimi nipo nimepanga mtaani lakini posho ya pango wameitoa lakini wengine kama Maafisa wapo kota na wanalipwa.
Na bado endeleeni kuwa daraja la mafanikio ya kisiasa ya CCMAskari Polisi wengi hatupati posho ya pango, I mean house allowance.....licha ya kwamba tumepanga mitaani na kuna ambao wanaishi kota na bado wanapewa posho, kuna upendeleo.
Posho ya pango ni askari wote except wanaoishi kota, sasa cha ajabu mimi nipo nimepanga mtaani lakini posho ya pango wameitoa lakini wengine kama Maafisa wapo kota na wanalipwa.
Nadhani umeona comment za watu huku, kuongezea tu BURN IN HELLAskari Polisi wengi hatupati posho ya pango, I mean house allowance.....licha ya kwamba tumepanga mitaani na kuna ambao wanaishi kota na bado wanapewa posho, kuna upendeleo.
Posho ya pango ni askari wote except wanaoishi kota, sasa cha ajabu mimi nipo nimepanga mtaani lakini posho ya pango wameitoa lakini wengine kama Maafisa wapo kota na wanalipwa.
Yaani kuanzia October sijui ningeficha wapi sura yangu,,,family mzima ingenishushia mzigo wa lawama.Dogo aliwaza mbali hii laana ingekutafuna sana😁
Mkuu Naomba nikufate pm Nina jambo langu.Kabisa Mkuu
Kuna mmoja nilimsaidia kusukuma pension yake kutoka kwa haraka, baada ya kikokotoo cha 33% alifanikiwa kupata gawio la 29,500,860 hivi kama sijakosea
Ni kiasi kidogo ukilinganisha na ukatili wanaowafanyia raia Kila siku kwa miaka 34 aliyotumikia jeshi 🙌
Hakuna lumumba aliyecoment hata mmoja kwa wale wanaoitetea ccm kwa uovu wao. Nimesoma zote ila chuki nikubwa sana. Wacha walinywe tu maana ni wapumbavu.Nadhani umeona comment za watu huku, kuongezea tu BURN IN HELL
8. WafirajiNyie ndio Vinara wa
1. Utekaji.
2. Mauaji.
3. Watu kupotezwa.
4. Rushwa.
5. Wizi wa Simu zetu
5.Kubambikiza watu kesi za Uongo.
6. Kutesa.
7. Ubakaji.
Nyie ni hasara kubwa sana kwa Taifa.
Hamna Faida kuliko hasara nyingi kwenye Nchi yetu
SIWAPENDI WAUAJI WAKUBWA NYIE.
Achaneni na Tabia ya kutumika kama DEKIO la Siasa chafu. Mnapokuwa Masta paredi Toeni hoja zenu na sio kila kitu "ndio Afande". Ona sasa wanasiasa wamejigundulia dekio la kusafisha pale walipochafua - ni nyie maPolisi.Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango, I mean house allowance.....licha ya kwamba tumepanga mitaani na kuna ambao wanaishi kota na bado wanapewa posho, kuna upendeleo.
Posho ya pango ni askari wote except wanaoishi kota, sasa cha ajabu mimi nipo nimepanga mtaani lakini posho ya pango wameitoa lakini wengine kama Maafisa wapo kota na wanalipwa.
Tatizo ninaloliona ni kwamba hawana Uwakilishi ngazi za juu. e.g. Ukiwa Wilayani hawana Diwani wao hata wa viti maalum; Ukienda mkoani/majimboni hakuna Mbunge anayepokea au anayejali changamoto zao - hao ni kama "waliotengwa" ilhali ni watanzania wenzetu na tunaishi nao. Mbaya zaidi wenyewe wakishavaa magwanda na kubeba bunduki wanajiona wamemaliza - wanasahau soko ni hilohilo tunaenda wote na itakapokuja El nino haitabagua.Kwani mnakaa kwenye mapango na sio nyumba!!!?? Sidhani kama huku kuna jibu la changamoto zako
Umepanga wapi ?Maana wengine tuna hasira na polisi haswaAskari Polisi wengi hatupati posho ya pango, I mean house allowance.....licha ya kwamba tumepanga mitaani na kuna ambao wanaishi kota na bado wanapewa posho, kuna upendeleo.
Posho ya pango ni askari wote except wanaoishi kota, sasa cha ajabu mimi nipo nimepanga mtaani lakini posho ya pango wameitoa lakini wengine kama Maafisa wapo kota na wanalipwa.
Dah! Aisee, huyo mbona ameshapigika vya kutosha jamani?. Nadhani Sasa tumwache ; akipona huenda atakuwa upande wetu au sio.....(Jockingly)Umepanga wapi ?Maana wengine tuna hasira na polisi haswa