KERO Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kazi yao ina wakati mgumu sana hawa watu sema hawajui tu ilitakiwa wawe na ukaribu sana na raia na sio kujenga chuki maana mwisho wa siku wakitemwa wanarudi uraiani
 
Kazi yao ina wakati mgumu sana hawa watu sema hawajui tu ilitakiwa wawe na ukaribu sana na raia na sio kujenga chuki maana mwisho wa siku wakitemwa wanarudi uraiani
Kabisa Mkuu

Kuna mmoja nilimsaidia kusukuma pension yake kutoka kwa haraka, baada ya kikokotoo cha 33% alifanikiwa kupata gawio la 29,500,860 hivi kama sijakosea

Ni kiasi kidogo ukilinganisha na ukatili wanaowafanyia raia Kila siku kwa miaka 34 aliyotumikia jeshi 🙌
 
Yeah ni kiasi kidogo sana kama hakujenga nyumba kabla lazima akili zimruke hapo
 
Mtaji mkubwa wa kua police ni kutokua na elimu na akili nzuri + wakiongezewaga ile kaulimbiu yao ya utiifu ndio wanakua vichaa wao wakiambiwa piga anapiga,ua anaua,baka anabaka teka anateka haruhusu hata akili yake kuchaka kitu afanyacho
 
Kazi yao ina wakati mgumu sana hawa watu sema hawajui tu ilitakiwa wawe na ukaribu sana na raia na sio kujenga chuki maana mwisho wa siku wakitemwa wanarudi uraiani
Tatizo la askari linaanzia kwenye mafunzo yao, wamefundishwa kutekeleza amri kwanza halafu ndio uhoji.
Wametumwa kuua raia(ambao ndio mtaji wao....kodi), wakatekeleza, sasa ndio akili zinamrudia.
 
Ninawasiwasi kama kweli aliyeandika uzi huu ni askari.Alipaswa ajue hali ya hewa humu..
Wajihidi liwe jeshi la wananchi na raia, sio wanasiasa, wezi na matapeli.Taaluma ya polisi ilipaswa kuwa taaluma ya watu wenye weredi wa kutosha na akili sababu maamuzi yao yanaweza sababisha maumivu, hasara ya mali na hata mauti..lkn kwa miaka ya karibuni wengi wa vijana wasiokua na tumaini la maisha, waliofeli shule, watukutu ndo wameingia.
Kuna jamaa jirani, mtoto wake wa kike - kichwa kizito, maji kabisa, kujieleza hewa, form four ilisumbua lkn yuko chuo cha polisi tayari, nimetafakati sana.
 
Binafsi nilikuwa na mpango mwaka huu niingie polisi kwa kuhonga 3m kama posho.

Ila kwa mwenendo huu bora niingie tamisemi kama dereva tu

Hiii kazi kuna namna changamoto
Kuvaa sare
Kukesha posho duni
Kuchukiwa na jamii
Utekaji NK.

Endeleeeni kutoa NONDO ili kazi hii initoke akilini
 
Acha kulialia huko...Rushwa zote hizo mnazokula ?
 
Nenda wizara ya mambo ya ndani ndio kuna Boss wenu. Hapa sisi tunakuona Spy tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…