Askari Polisi watatu wafariki dunia katika msafara wa CCM Singida

Askari Polisi watatu wafariki dunia katika msafara wa CCM Singida

Jamani serikali iwe na huruma na watotot wa watu, msafara wa ccm unaongozwa na polosi? Huku sasa ndio kupenda kutukzwa, loh! halafu serikali hii ndio inayo jinasibu kubana matumizi! Poleni wafiwa.
 
Juzi tulipitwa na msafara hapa hapa dar lakini spidi nadhani ilikuwa 180...nikamuuliza mshikaji nilekuwa naye kwenye gari logic ya hii misafara kuvunj sharia za barabarani...yeye akatetea kuwa wako safe sababu wanapishwa na wanapiga king'ora...nikamuuliza akikatiza kiziwi ghafla au mtoto si watamgonga hawa...

hivi spidi ni haraka? usalama? au mbwembwe? sawa tutawapisha lakini you need to rethink kama kuna haja kweli ya kwenda spidi 180 toka na safari yenyewe ni ya posta airport
 
.....

.......True Mkuu
 
Yawezekama master p lkn hao jamaa wanakimbia kuliko yutong
 
Huwa naumia sana naposilkia taarifa kama hizi,mwenyezi mungu awapumzishe kwa amani,walikuwa wantimiza wajibu wa kazi yao,Wafiwa mungu awape amani ktk kipindi hiki kigumu.Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake liidimiwe,AMINA.
 
Ni huko Singida wakielekea Manyoni.

Ni baada ya tairi ya gari kupasuka na kupoteza muelekeo.

8fd0299de8ef37443918392608a0eb3d.jpg

8ecc0f6ced9c57741f62ad7ba811b9a1.jpg

73620de0bc2a775b012cf795a58639c1.jpg

f38032a45b9c010d2b4badb17dfb2a8a.jpg
Just when you think humanity has evolved, there comes a bunch of idiots with mediocrity minds to prove you wrong. Lengo la thread ilikua kutupatia habari, lakini navyoona peoples have lost focus on the news. ( the topic at hand/ subject of discussion) and they resort to trying to associate two things that aren't even connected, deaths of police officers and their records of evil deeds. I say, the two are not connected, those who try to establish that connection will be committing a fallacy of false cause.

# Those who are amused and found joy in this news remember this," if you think that your life is worth more than that of another man, then there is no love in you"
 
Kesho Nape atasema sherehe zilifana sana bila kujali askari wamepoteza maisha. Au ni sehemu ya ibada zao za matambiko? Hebu mshana jr ukuje pande hizi utupe darsa kidogo yawezekana ni Yale mambo?
 
Back
Top Bottom