Askari Polisi watatu wafariki dunia katika msafara wa CCM Singida

Askari Polisi watatu wafariki dunia katika msafara wa CCM Singida

73620de0bc2a775b012cf795a58639c1.jpg

[/QUOTE]
Pole zangu za dha ti ziwafikie ndugu jamaa na marafiki wa marehemu pia ningependa wahusika wa msafara upande wa mapolisi wawajibishwe kwa kuruhusu gari No PT 2121 kuendehswa hali wanajua tairi zake ni kuu kuu zimekweisha haswa tairi la mbele upande wa kulia ....
 
wapumzike kwa amani makamanda wote

hawa jamaa nawafahamu kabisa pole sana kwa familia zao na ndugu na jamaa
 
Kati ya watu wanaoendesha gari vibaya bila USALAMA ni POLICE...sijui kwnn wengi wako very careless na kuwa speed sana,
na kutojali hali ya gari au hata maeneo wanayopita....
 
Huu ubebaji wa askari wetu kama timu ya kijiji inaenda kwenye mechi ni hatari sana...kwakweli inabidi tutafute njia muafaka ya ubebaji wa askari.Askari wanatakiwa wawe wamekaa kwenye viti na kufunga mikanda pindi wanapokuwa kwenye mwendo kasi lakini magari tunayotumia kubebea hayana huduma hizo.
 
Hivi kuna kampeni inaendelea mara baada ya uchaguzi tu ? wanasiasa hawachoki kweli
 
Kuna haja ya serikali kuangaliwa upya suala la misafara ya viongozi hasa speed wanayoenda nayo wao wakiwa ndani ya magari wamefunga mikanda halafu wanatanguliwa na askari waliorundikana kwenye magari ya wazi ambayo hayana usalama wowote. Vinginevyo maaskari watazidi kufa sana kwa ajali. Au ndo mbuzi wa sadaka?
 
Polisi wamekuwa watu wa kutembea kwa speed hata mahali pasipohitaji speed kubwa vile ndugu hawa wamejaa sifa zisizo na Tija mitaani kwa kutumia vyombo vya usafiri kati ya pikipiki au Magari ,Btw wapumzike kwa amani
 
Wakati fulani wenye mabasi ya abiria walinunua sana tairi za spidi ya 100km/hr kwa sababu tairi hizi ni bei rahisi kuliko tairi ya spidi ya juu ya 100km/hr. Sasa kwa kuwa mabasi mengi yanaenda zaidi ya 100km/hr tairi zikawa zinapasuka sana, wakadhani tairi za Michelin zilikuwa na tatizo kumbe ilikuwa agent wa Michelin hapa Tanzania alikuwa anawauzia wenye mabasi tairi zisizofaa kwa spidi ya basi kwa bei poa. Tairi hizi zilikuwa za malori ambayo kwa spidi ya 100km/hr zio tatizo sana.
Hakuna kitu kama hicho duniani!

Michelin hawawezi kutengeneza tairi ambalo likivuka 62miles/hour linapasuka!

Listen, hakuna gari ambalo linatengenezwa linategemewa lisivuke 62 miles/ hour na likivuka linalipuka matairi!... That is just outrageously farcical, please!
 
Mkuu, mie sipendi kubishana na watu wasio na uelewa wa jambo wanalobishia. Watu hawatajua tofauti yetu. Maneno yako yanajidhihirisha kwamba wewe ni mbishi usiyejua mambo, unaleta ujinga wako tu humu JF. Unajidharirisha tu humu ndani ya JF. Kama huelewi jambo omba kuelimishwa badala ya kujifanya mjuaji.

Kwa faida yako, hebu angalia hapa chini ujue concept ya tyre speed rating; natumaini unaelewa lugha ya kiingereza Zaidi ya ulivyojionyesha kwenye comment yako.

Tyre Speed Rating

speed-rating.jpg
The speed rating of a tyre is displayed on the sidewall. Like in the image, you will find it at the end of the tyre's size. It is always represented by a letter - in the following example the tyre speed rating is "W".

Once you know your tyre speed rating, you can work out what is the maximum speed your tyre is capable of maintaining.

For example, the "W" rating seen in the image, tells us that this tyre can reach speeds of up to 168mph.

Speed ratings are based on tests in which engineers run the tyre at 6.2 mph steps, in 10 minute increments, until the required speed has been met.

Effect on Car Insurance

It is very important that you check your speed rating before buying tyres. Choosing a tyre with a lower rating than is appropriate for your car can invalidate your insurance.

Tyre Speed Rating Table

Speed Rating Mile/Hour Kilometers/Hour

B ......................... 31 .................................50
C ...........................37 ........................... 60
D ........................... 40 ........................... 65
E ........................ 43 ........................ 70
F ........................ 50 .............................. 80
G ........................... 56 ........................... 90
J ........................... 62 ................... ....... 100
K ........................... 68 ............................... 110
L ............................ 75 .............................120
M ........................... 81 ........................... 130
N .............................. 87 ........................... 140
U ..............................124 ........................... 200
P ............................ 93 ......................... 150
H ............................. 130 ...................... 210
Q ........................... 99 ........................ 160
V .............................149 ....................... 240
 
Mkuu top speed ya hiyo gari ilikua 260 ,hivyo tairi zilizofungwa zilikua zinaruhusu kabisa gari kutembea 160 na zaidi bila tatizo ,labda hilo la zaidi ya miaka minne japo sina kumbukumbu sahihi ,baada ya kutoa lile tairi maana Rim yote ilikunjika nikakuta bolt ndani ambayo ndio ilisababisha tairi kupasuka nilipoikanyaga nikiwa kwenye speed

Mkuu siku zote ukumbuke kwamba kuna tofauti kubwa ya top speed ya gari na aina za tairi unazofunga. Unaweza ukawa na gari ya top speed ya 300km/hr, ukaifunga tairi ya top speed za 120km/hr.

Top speed ya gari na ya tairi havina uhusiano. Ila gari ambayo umenuna mpya lazima itakuwa imefungwa tairi kuendana na top spidi yake.
 
Kwa jinsi wanavyo linda hawa mabedui naona wafe tu .. Na walazwe panapostahili.. Naeachukia polisi na ccm sana hasa policcm wa Tanzania
 
Dereva akamatwe na kuchuliwa hatua!

Dereva labda hana kosa. Mkuu wake wa kituo au msimamizi wa karakana inayotengeneza magari. Unajua huwa hizi gari za serikali zinaweza kuandikwa zimebadilishwa tairi na kuwekewa tairi mpya kumbe ni tairi mpya hewa! Ila madereva pia wanajulikana wanauza tairi mpya walizofungiwa na kufunga za zamani wanazonunua mitaani kwa bei poa.
 
Mkuu, mie sipendi kubishana na watu wasio na uelewa wa jambo wanalobishia. Watu hawatajua tofauti yetu. Maneno yako yanajidhihirisha kwamba wewe ni mbishi usiyejua mambo, unaleta ujinga wako tu humu JF. Unajidharirisha tu humu ndani ya JF. Kama huelewi jambo omba kuelimishwa badala ya kujifanya mjuaji.

Kwa faida yako, hebu angalia hapa chini ujue concept ya tyre speed rating; natumaini unaelewa lugha ya kiingereza Zaidi ya ulivyojionyesha kwenye comment yako.

Tyre Speed Rating

speed-rating.jpg
The speed rating of a tyre is displayed on the sidewall. Like in the image, you will find it at the end of the tyre's size. It is always represented by a letter - in the following example the tyre speed rating is "W".

Once you know your tyre speed rating, you can work out what is the maximum speed your tyre is capable of maintaining.

For example, the "W" rating seen in the image, tells us that this tyre can reach speeds of up to 168mph.

Speed ratings are based on tests in which engineers run the tyre at 6.2 mph steps, in 10 minute increments, until the required speed has been met.

Effect on Car Insurance

It is very important that you check your speed rating before buying tyres. Choosing a tyre with a lower rating than is appropriate for your car can invalidate your insurance.

Tyre Speed Rating Table

Speed Rating Mile/Hour Kilometers/Hour

B ......................... 31 .................................50
C ...........................37 ........................... 60
D ........................... 40 ........................... 65
E ........................ 43 ........................ 70
F ........................ 50 .............................. 80
G ........................... 56 ........................... 90
J ........................... 62 ................... ....... 100
K ........................... 68 ............................... 110
L ............................ 75 .............................120
M ........................... 81 ........................... 130
N .............................. 87 ........................... 140
U ..............................124 ........................... 200
P ............................ 93 ......................... 150
H ............................. 130 ...................... 210
Q ........................... 99 ........................ 160
V .............................149 ....................... 240
MICHELIN, sijui manufacturer wengine, lakini MICHELIN hawezi kutengeneza tairi ambalo likifika speed 60mph linapasuka.

Litakuwa tairi la nini hilo ambalo halifiki 60mph, tairi la mkokoteni?

MICHELIN hawatengenezi matairi ya mikokoteni.
 
Spidi ya misafara ya watawala ni jipu. Mungu ametumbua jipu. Kazi ya Mungu haina makosa.
 
MICHELIN, sijui manufacturer wengine, lakini MICHELIN hawezi kutengeneza tairi ambalo likifika speed 60mph linapasuka.

Litakuwa tairi la nini hilo ambalo halifiki 60mph, tairi la mkokoteni?

MICHELIN hawatengenezi matairi ya mikokoteni.

Acha ubishi Kwameh. Michelin hawatengenezi tairi ili ipasuke, wanatengeneza tairi kwa viwango vya spidi mbalimbali kulingana na speed rating nilizokuandikia, ikitegemea tairi inaenda kutumika wapi. Kinachotokea ni kwamba watu wa mabasi bila kujua wanafunga tairi ambazo si za rating tairi za basi, kwa sababu tairi za spidi rating ya chini zina bei ndogo kuliko tairi za spidi rating ya juu. Sasa ukifunga tairi ya spidi rating ya chini ukakimbiza gari kwa spidi zaidi ya rating ya tairi, tairi itapasuka, kwa sababu haikutengenezwa kufikia spidi unayotembelea.

Mfano mzuri ni kwamba tairi za ndege zina spidi rating ya juu sana. Sasa hata ukiweza kufunga tairi ya gari ika-fit kwenye ndege, itapasuka wakati ndege inakimbia ili kuruka, kwa sababu haina spidi inayofikia spidi ya ndege wakati wa kuondoka, 300-400km/hr

Tairi za lori kwa mfano, hata kama ni Michelin, huhitaji kuwa na spidi rating ya 140km/hr kwa sababu ni mara chache sana utakuta lori inakimbia zaidi ya 120km/hr. Hivyo lori nyingi zinafunga tairi za rating ya 120km/hr.

Sasa ukichukua tairi ya lori ya rating ya 120km/hr, ukafunga kwenye basi halafu ukaendesha basi kwa spidi hadi 130km/hr, mara nyingi hiyo tairi itapasuka. Hicho ndicho walichokuwa wanafanya madereva wa mabasi. Bila kujua walikuwa wananunua tairi za malori za spidi ya chini wanafunga kwenye mabasi. Zikawa zinapasuka wakaanza kulalamikia Michelin. Ila siri ambayo watu hawakuambiwa ni kwamba walikuwa wanafunga tairi za lori kwa sababu zilikuwa bei rahisi kuliko tairi za basi, ambazo zina spidi rating zaidi ya tairi za lori, na bei yake iko juu. Lakini waliowapoteza ni wauzaji wa matairi ya Michelin, kwa sababu wenye mabasi hawakujua hili suala la spidi rating ya tairi, na walidhani wanauziwa tairi nzuri za Michelin kwa bei poa.

Kimsingi, ilibidi ajenti wa Michelin hapa Tanzania awekwe ndani na kufunguliwa mashitaka ya kuua. Huyu agent alijua alichokuwa anakifanya, lakini akajifanya anauza tairi za Michelin kwa bei poa kwa watu wa mabasi, bila kujali kwamba alikuwa anaua watu.
 
Back
Top Bottom