Askari Polisi watatu wafariki dunia katika msafara wa CCM Singida

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,393
24,968
Ni huko Singida wakielekea Manyoni.

Ni baada ya tairi ya gari kupasuka na kupoteza muelekeo.

Habari zilizotufikia hivi punde tu zinasema kwamba askari 3 wamefariki dunia huku wengine 3 wawili wakiwa majeruhi na hali zao ni mbaya baada ya kupata ajali mbaya iliyosababishwa na tairi la gari yao iliyokuwa katika msafara wa viongozi wa CCM mkoani Singida kupasuka na kupinduka katika eneo la Mkiwa, wilayani Ikungi.

Mwenyezi Mungu apokee roho zao hao MAREHEMU na awape nafuu ya haraka MAJERUHI.

8fd0299de8ef37443918392608a0eb3d.jpg

8ecc0f6ced9c57741f62ad7ba811b9a1.jpg

73620de0bc2a775b012cf795a58639c1.jpg

f38032a45b9c010d2b4badb17dfb2a8a.jpg
 
Askari Polisi watatu wafariki dunia na wawili majeruhi. Ni kutokana na gari moja kupata ajali katika msafara wa viongozi wa CCM huko Singinda.
Source Radio one
 
Habari zilizotufikia hivi punde tu zinasema kwamba askari 3 wamefariki dunia huku wengine 3 wawili wakiwa majeruhi na hali zao ni mbaya baada ya kupata ajali mbaya iliyosababishwa na tairi la gari yao iliyokuwa katika msafara wa viongozi wa CCM mkoani Singida kupasuka na kupinduka katika eneo la Mkiwa, wilayani Ikungi.

Mwenyezi Mungu apokee roho zao hao MAREHEMU na awape nafuu ya haraka MAJERUHI.

8fd0299de8ef37443918392608a0eb3d.jpg
 
Mungu awape pumziko la amani na awape faraja na uvumilivu familia ndugu na marafiki zao
 
.....

.....Mwendo kasi unauwa endesha kwa MAKINI !!!!!
Sio utani,maana mwendo wanao mpitisha nao kiongozi anaye itwa wa ngazi ya juu ni wa hatari zaidi ya hicho wanacho kiogopa wakipita kwa mwendo wa wastani na mara zote wana usalama ndio wahanga,Mungu apishie, mbali yaliyo tokea kwa Marehemu Sokoine yasije yakajirudia,Askari ndio wanao tukumbusha raia kuwa mwendo kasi unaua ila wao na hasa kwenye misafara huo msemo hauwahusu,Mungu azilaze pema roho za Marehemu na kuwapa wafiwa nyoyo za uvumilivu.
 
kazi ya mungu haina makosa japo kila litokealo huwa na sababu na msababishi poleni wafiwa
 
Du! hii ajari mbaya kweli. nimeona gari nikiwa ndani ya basi! Mungu azilaze Roho za marehemu mahali pema peponi
 
Back
Top Bottom