Askari Polisi waandika barua kwenda kwa Waziri Lugola wakimtuhumu OCD Serengeti kutembea na wake zao, wachumba zao na kuomba rushwa

Huwa sikukubali sana lakini kwa ulichokisema ni kweli 100 asilimia.
Huko ni kujidanganya, kumbuka kwamba kwa kawaida Mwanamke hawezi kutenganisha sex na love, kama Mwanaume, Mwanaume anaweza kusex na mwanamke asiyempenda.

Lkn kuna baadhi ya Wanawake wanaweza kama vile Wanaume kutenganisha sex na love mfano makahaba wanaojiuza hawana hisia na Wanaume wanao sex nao, lkn ni wachache, ila Kibaolojia Mwanamke wa kawaida anahusisha hisia na sex, hivyo yule mwanaume anayesex naye huwa anajenga hisia naye, hivyo usijidanganye, likikutokea na ukajua, jipange tu kwa maana anakuwa tayari ushamtoka na yuko kihisia kule ndo maana ukali hausaidii kwani atawasiliana naye tu hata kwa kuiba.

Hivyo ushauri wangu ukijua na ukathibitisha, anza kujiengua mapema kwani anajipanga kukumwaga mazimaa, hayo ni maoni yangu yanayotokana na uzoefu wangu na mademu!
 
Tatizo linaanzia kwa askari wa kiume. Wengi wao huwa hawaweki vigezo na masharti wanapotafuta mchumba. Sio love wala nini huwa wanakwapua tu. Matokeo yake wanabeba rejects nyingi kama mke. Na haya ndio matokeo yake.
Wengi ni house wifes + kukaa karibu karibu kwenye zile fullsuti zao- mazoea ya kijinga na kutombeana hakuepukiki.
Sambamba na hilo askari wengi wa kiume ni malaya hivyo hivyo wake zao wanarevenge, pia ni walevi walevi wakati mwingine wanashindwa kuwatimizia haki wake zao lazima wavunjiwe.

Ina maana wanashindwa kudeal na huyo boss kijamii jamiii naye wakamjamiii mpaka wamshtaki?
 
Na kuhusu askari wa kike - ocd mtamlaumu bure, naye ni mwanaume kama wengine- kuna tuaskari twa kike ni turembo banaaaaa! Sio kama zamani. Yaani mitindo ya nywele, bambataa n.k- unatamani ufanye kosa ukamatwe nae.
Kuna mmoja nilimbahatisha, she was in her early 20s, she was amazing. Tall, Maji ya kunde, bambataa la kiasi na mnato kama wote. Kalikuwa kananipendaaaaaa hadi raha. Popote uliko ML bado nakukumbuka,
 
Sema polisi wenyewe wanawachukua wake wa watuhumiwa na kuchukua pesa kwa wanaume zao !!!!!!!!!!!!!!!!!!
JESHI LA POLISI LIMEKOSA WEREDI KABISA HATA IGP JUZI JUZI AMELALAMIKA.
 
In general, a civilian is "a person who is not a member of the military or of a police or firefighting force" wikipedia, kamanda huko jeshini uliingia kwa elimu ya std 7 au vipi unaniangusha!! kasome military law ujiridhishe kama ulichosema ni kweli kama sheria ya jeshi la Tz inazingua basi kasome sheria ya kimataifa ya majeshi iliyo undwa Geneva halafu ukielewa itakuwa kwa faida yako.
Polo elimu yangu kuanzia ya kiraia na yinginezo wewe bado sana kuzifikia nawaita police ni maraia sababu ni watu wa malalamiko sana bila hata kufuata utaratibu Kama askari
 
MaOCD wote igeni mfano wa huyu Bwana mkubwa...wanatunyanyasa sana mitaani...vumbi la Congo nitawaagizia bure washike adabu😢😢🥵
 
Wewe kila siku unabishana na watu hapa kuhusu ujeshi wa polisi,wenzenu wanaangalia matendo kama haya.askari kamili hafanyi ungese kama wa hawa wananchi walioandika hiyo waraka.

Simply huu ni uraia kiwango cha phd,embu eleza ni kwanini msichunguzwe na taasisi nyingine kama mmeshindwa kujiongoza!!!
Wewe muelekeze vizuri huyo polo kwanini tunawaita police ni maraia
 
Askari Polisi waandika barua kwenda kwa Waziri Lugora wakimtuhumu OCD Serengeti kutembea na wake zao, wachumba wao

Pia OCD huyo amekuwa akiomba rushwa ya ngono kwa askari wa kike

Mkuu wa kituo Cha Polisi wilaya ya Serengeti mkoani Mara (OCD) Matthew Mgema, ameingia katika kashfa nzito ya kuomba rushwa ya ngono fesha kutoka kwa askari wa kike na wa kiume.

Mkuu huyo wa kituo cha polisi amesababisha kuvunjika kwa ndoa za askari wake anaowaongoza na wengine kuwatengenezea skendo ambazo zimesababisha wahamishwe vituo vya kazi.

Barua tuliyoipata iliyoandikwa na askari Polisi hao, ambao wamechoshwa na vitendo hivyo, inaeleza namna OCD huyo anavyofanya vitendo vya kinyanyasaji kwa askari wenzake.

Barua hiyo imeandikwa kwenda kwa RPC Mara na Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Kangi Lugora ili aweze kuwasaidia Polisi hao ambao wananyang'anywa wake na wengine kunyang'anywa wachumba wao na OCD huyo.

Kulingana na barua hii na vitendo vichafu vinavyoendelea kufanyika Serengeti, Waziri Lugora hakikisha unafanya ziara ya haraka Serengeti kwa kuwa vitendo hivyo vinahatarisha usalama kwa askari wako.

Pia OCD huyo ametengeneza mtandao ndani ya askari wake ambao wanashirikiana kuchukua rushwa kutoka kwa watuhumiwa wa uwindaji haramu kwenye mbuga ya serengeti.

Pia amekuwa akitumia mtandao huo wa askari wasiokuwa waaminifu kuchukua pesa kwa wafanyabiashara na watuhumiwa wengine wanaokamatwa kwa tuhuma mbalimbali na fedha zinazopatikana wamekuwa wakigawana.

Soma chini barua hii ya askari walioiandika kwenda kwa Waziri Lugora na RPC Mara.

Na hii timu ya Ocd anayotumia kuchukua rushwa na mambo mengine.

G-6873 D/C Benson..G-5805 D/C Christophe..G-3633 D/C peter..G-4209 D/C Steve..!

BY CHARLES CHARLES
Kama ni kweli alikuwa anawatafuna wake zenu, yafaa muwaonye sana hao wake zenu na tabia zao za kutotulia hata pale wazee mnapoenda kutafuta riziki. Pili isijekuwa alikuwa anawaweka kando na kale kamgao kake ka pesa za wafanyabiashara na wawindaji haramu, maana hamkawii kuchoma kwa namna yoyote. Kuhusu wake zenu, c.o nyie tu askari mnatafuniwa, hata c.c raia, sasa cjui nani atashtaki kwa nani, pesa ndio tatizo. Ukiwauliza wake zenu na wetu pia wanakujibu shetani aliwapitia. Shetani anasingisiwa sana wkt ni tamaa ya pesa na starehe tu.
 
Hapa wamechwmka labda awajibishwe kisiasa vinginevyo yatapnekana ni majungu
Kama Askari Hajui Haki Zake Na Hatua Za Kisheria Za Kuchukua Je Raia Wa Kawaida Itakuwaje Yakimkuta.

Ndio Maana Tuna Jeshi La Polisi La Kipumbavu Sana Nchi Hii!

Polisi Gani Hajui Haki Zake Na Sheria Anashindwa Kuwatafuta Takukuru Wakaweka Mtego Na Wakamkamata Na Ushaidi Juu?
 
kwa sheria za jeshi, mkubwa wako aliekuzidi cheo, hata akikukuta uko bar na mke wako mmekaa, inabidi usimame, umpigie saluti na umpishe akae na mkeo, hakuna kuhoji, askari wa kike hakuna kukataa chochote utakachoombwa na mkubwa wako.
Hata ukiombwa 0713 inabidi utoe, sio?? Hiyo 'hakuna kukataa chochote' sio chochote kama unavyoelewa wewe bali ni chochote kinachoruhusiwa kulingana na taratibu zao
 
Mke wako mpaka akamvulie chupi Mwanaume mwingine ujue kuna tatizo hapo kati yako na Mke wako na siyo Mwanaume mwingine, kwenda kumvaa mwanaume mwingine ni kukimbia tatizo, kwani mara nyingi Wanawake huwa na feelings na wale wanao sex nao, sasa ukiona anasex na mwingine ina maana tayari ana hisia naye na hapo ukali wako hautasaidia kitu, kwani hisia siyo kama swichi ya taa unaweza washa na kuzima.

Hivyo Mke/girlfriend wako akisex na Mwanaume mwingine jua hivyo, kwamba ana hisia naye kuliko wewe, hivyo anza kujipanga tu kwani ameshaenda huyo na hata kama ukimlazimisha hatokuheshimu tena, kwani keshamvulia chupi mwanaume mwingine kwa hiari, hivyo jipange tu.

Hayo ni maoni yangu, najua ni ngumu klk nilivyoelezea hasa likikukuta, lkn ndiyo maisha hayo!
Sijui Unaishi wapi? Umewahi kusikia watu wapo ndani kwa kutumia cheo Chao kulazimisha wapewe papuchi? Kwahiyo wanaonewa?
 
Sasa hapo kosa la ocd au wake zao? Wakati mwingine huwa naona Tanzania hizi ndoa ni kama kulazimishana tu, hivi kweli Mke wako anasex na Mwanaume mwingine halafu unakwenda kumlalamikia mwingine? WTF!
Maisha ya kambini acha mkuuu. Ni kama upo jera. Bosi akiamua kitu lazima kitimie we acha tuuu changamoto sana.
 
kwa sheria za jeshi, mkubwa wako aliekuzidi cheo, hata akikukuta uko bar na mke wako mmekaa, inabidi usimame, umpigie saluti na umpishe akae na mkeo, hakuna kuhoji, askari wa kike hakuna kukataa chochote utakachoombwa na mkubwa wako.
Ambaye ajaishi kambini hawezi kuelewa, wanafikiri kama stori. Na ndio maana maaskari wengi hawapendi watoto wao wa kike waingie jeshini. Maana wanajua jinsi wanajeshi wanavyobanduana kisawa sawa kama mpo casino
 
Hao askari ni wajinga sana, unakwenda kumshitaki OCD huku una bunduki imejaa risasi? Kwanini wasitandike za kichwa ili akafanyie umalaya huko ahera? Wao wamebaki kutumwa tu kwenda kuwafanyia ukatili wapinzani huku wake zao wakipewa virus kwa ajili ya njaa zao.
Malipo apa apa duniani
 
Askari Polisi waandika barua kwenda kwa Waziri Lugora wakimtuhumu OCD Serengeti kutembea na wake zao, wachumba wao

Pia OCD huyo amekuwa akiomba rushwa ya ngono kwa askari wa kike

Mkuu wa kituo Cha Polisi wilaya ya Serengeti mkoani Mara (OCD) Matthew Mgema, ameingia katika kashfa nzito ya kuomba rushwa ya ngono fesha kutoka kwa askari wa kike na wa kiume.

Mkuu huyo wa kituo cha polisi amesababisha kuvunjika kwa ndoa za askari wake anaowaongoza na wengine kuwatengenezea skendo ambazo zimesababisha wahamishwe vituo vya kazi.

Barua tuliyoipata iliyoandikwa na askari Polisi hao, ambao wamechoshwa na vitendo hivyo, inaeleza namna OCD huyo anavyofanya vitendo vya kinyanyasaji kwa askari wenzake.

Barua hiyo imeandikwa kwenda kwa RPC Mara na Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Kangi Lugora ili aweze kuwasaidia Polisi hao ambao wananyang'anywa wake na wengine kunyang'anywa wachumba wao na OCD huyo.

Kulingana na barua hii na vitendo vichafu vinavyoendelea kufanyika Serengeti, Waziri Lugora hakikisha unafanya ziara ya haraka Serengeti kwa kuwa vitendo hivyo vinahatarisha usalama kwa askari wako.

Pia OCD huyo ametengeneza mtandao ndani ya askari wake ambao wanashirikiana kuchukua rushwa kutoka kwa watuhumiwa wa uwindaji haramu kwenye mbuga ya serengeti.

Pia amekuwa akitumia mtandao huo wa askari wasiokuwa waaminifu kuchukua pesa kwa wafanyabiashara na watuhumiwa wengine wanaokamatwa kwa tuhuma mbalimbali na fedha zinazopatikana wamekuwa wakigawana.

Soma chini barua hii ya askari walioiandika kwenda kwa Waziri Lugora na RPC Mara.

Na hii timu ya Ocd anayotumia kuchukua rushwa na mambo mengine.

G-6873 D/C Benson..G-5805 D/C Christophe..G-3633 D/C peter..G-4209 D/C Steve..!

BY CHARLES CHARLES
Hivi yule trafiki wa kike mweusi pale makutano ya bi titi road na ohio (dsm) hasa asubuhi hamna kamanda anaosha rungu kweli pale?
 
Back
Top Bottom