Askari Polisi waandika barua kwenda kwa Waziri Lugola wakimtuhumu OCD Serengeti kutembea na wake zao, wachumba zao na kuomba rushwa

Hao askari ni wajinga sana, unakwenda kumshitaki OCD huku una bunduki imejaa risasi? Kwanini wasitandike za kichwa ili akafanyie umalaya huko ahera? Wao wamebaki kutumwa tu kwenda kuwafanyia ukatili wapinzani huku wake zao wakipewa virus kwa ajili ya njaa zao.



Malipo apa apa duniani. Wanapiga wananchi na wenyewe wake zao wanapata miwaya ngoma inogire.
 
IMG_20191011_174610.jpeg
 
Polo elimu yangu kuanzia ya kiraia na yinginezo wewe bado sana kuzifikia nawaita police ni maraia sababu ni watu wa malalamiko sana bila hata kufuata utaratibu Kama askari
Kwa hili sikupingi hata mimi nimekuwa ninashangaa sana huu uozo wanaofanya polisi. Binafsi nimejivika cheo cha kuwatetea polisi humu Jf ijapokuwa mimi siyo miongoni mwao .
 
Back
Top Bottom