Askari Polisi waandika barua kwenda kwa Waziri Lugola wakimtuhumu OCD Serengeti kutembea na wake zao, wachumba zao na kuomba rushwa

miaka ya nyuma ilitokea pale makete mkuu wa kituo kuhusiana na wake wa maaskari. siku moja askari akiwa lindo akatonywa bosi yuko kwa mke wake. jamaa aliondoka lindoni kwenda nyumbani. alipofika akamkuta mkewe pekeyake. jamaa hakuamini!akachungulia uvunguni mwa kitanda akaona bosi amejilaza. Jamaa akalikoki. Akammaliza hukohuko. Serengeti mnafeli wapi!?
 
Kwahiyo maraia makakamavu yanamlilia lugora ayasaidie mambo ya ndoa
.

Nadhani lugora nayeye ataangalia ni mke wa askari gani atamfaa,nayeye ajipasulie kiroho safi.

Watu zaidi ya 40 mnashindwa hata kumroga huyo mnabaki kulia lia tu.
 
Sasa hapo kosa la ocd au wake zao? Wakati mwingine huwa naona Tanzania hizi ndoa ni kama kulazimishana tu, hivi kweli Mke wako anasex na Mwanaume mwingine halafu unakwenda kumlalamikia mwingine? WTF!
Wewe demu umemaliza maternity leave??
 
Acha wapambane wenyewe maana wamepitia mbinu za kimedani.

Polisi unalia lia ili iwe nini. Muweze kudhibit maandamano na majambazi kwa kuwanyanganya mabinduki,huyo OCD anawashindwa nini.

Tumie hatua za kimedani baana,acheni kujichoresha.
 
Huku kwetu sisi tungemla kichwa sielewi police wanafeli wapi
 
Wangemuwekea mtego tu
Wanawake wengi wafanyakazi, hasa wenye fani ambazo boss ndiye mwenye uzito mkubwa linapokuja suala la kupanda cheo, wana uwezo mkubwa Sana wa kutofautisha ngono na mapenzi. Kila kitu kwao ni kimkakati zaidi, hata ndoa zao pia ni kiegesho;
 
Kama hujawahi kupitia hata jkt ya mujibu wa Sheria bora ukae kimya tu
Sasa hapo kosa la ocd au wake zao? Wakati mwingine huwa naona Tanzania hizi ndoa ni kama kulazimishana tu, hivi kweli Mke wako anasex na Mwanaume mwingine halafu unakwenda kumlalamikia mwingine? WTF!
 
kwa sheria za jeshi, mkubwa wako aliekuzidi cheo, hata akikukuta uko bar na mke wako mmekaa, inabidi usimame, umpigie saluti na umpishe akae na mkeo, hakuna kuhoji, askari wa kike hakuna kukataa chochote utakachoombwa na mkubwa wako.

Si kweli
Huwezi kukataa kwa kazi ulizo apa kuzifanya LKN kazi ambayo haipo ktk miongozo yako huwezi kufanya na sio kosa!
 
Yani ocd kalala na wake zao, wao wanasema kawa nyang'anya.
Ebu wawaulize wake zao,kwanini wote walale na OCD, inawezekana wao hawa hawajitumi kwenye kutoa unyumba.
Huyu ocd wampelekee askari wa kike.
 
Kwa hiyo unawashauri watumie bunduki si ndiyo.
Mimi siwashauri kitu bali najiuliza na kuwashangaa. Inakuaje wanaume kujikusanya kakikundi na kulalamika kuwa wanagongewa wake zao. Tena huyo mgongaji wao ni mmoja.
 
kwa comment hizo apo juu ....inadhiirisha jf imevamiwa asee.

NI kosa kubwa kijeshi kutembea na mke/mume wa mwenzio !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…