Askari polisi Kenya ajichanganya

fired

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2021
Posts
205
Reaction score
443
Iko askari mpumbavu aliamua kumsomesha mpenzi wake chuo kikuu alitumia takriban 800,000 za kenya baada ya kuhitimu mpenziwe alimuacha na kusema ako na elimu zaidi ya polisi.
Polisi alimfuata kwake na kumpiga risasi kumi na saba hadi kufa.
Je, makosa ni ya nani?
 
Makosa ako na huyo polisi mpumbavu. Vile hiyo hela mazee angeitumia kujisomesha mwenyewe. Halafu huyo Manzi angeishia kwenye kumpendanga tu.
 
Askari alileta ushamba(ujanja ujinga) wa mapenzi, demu kaleta ushamba(ujanja ujinga) wa maisha.
 
Makosa RISASI
 
Huyo askari ni fala tu, angeishia kula mbususu tu and then waachane salama na huyo demu. Somesha kama msaada/ufadhili tu huku ukila mbususu usitegemee demu aje kuwa mke wako wa maisha
 
Huyo askari ni fala tu, angeishia kula mbususu tu and then waachane salama na huyo demu. Somesha kama msaada/ufadhili tu huku ukila mbususu usitegemee demu aje kuwa mke wako wa maisha
KUSOMESHA NI KAZI YA WAZAZI
 
Makosa ako nayo wote, vile huyo mwanadada ako mpumbavu ako analuka sarakasi kwenye transfoma ya umeme, kwanini asipigwe shoti?..Hela ya askari huwa hailiwi kizembe, kwani wanaisotea sana. japo na askari naye kazingua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…