Askari na kuruta… | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askari na kuruta…

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Wilbert1974, Apr 29, 2012.

 1. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  :argue:

  [FONT=&quot]Askari aliamua kumtuma kuruta wake kutoka kijiji kimoja kwenda kingine. Kijiji alipokuwa askari na kuruta kilikuwa kinaitwa NAKULARAHA na kile kingine kilikuwa kinaitwa NAMAMAYAKO.[/FONT]
  [FONT=&quot]Sikia maongezi yao sasa kwenye simu…[/FONT]
  [FONT=&quot]Askari: Weewe Kuruta!!! Umefika wapi hadi sasa?[/FONT]
  [FONT=&quot]Kuruta: Afandee! Nipo katikati ya NAMAMAYAKO na NAKULARAHA mkuu.[/FONT]
  [FONT=&quot]Askari: Umesemaje??![/FONT]
  [FONT=&quot]Kuruta: Mkuu yaani ni hivi nimefika katikati ya hivi vijiji viwili…. Umenisoma sasa vizuri. Kwani we ulinisomaje??[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
   
 2. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  th teh, majina nengine bana
   
 3. ijoz

  ijoz JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 667
  Likes Received: 374
  Trophy Points: 80
  mh,nimekusoma,karibu nagonga menu hapa nakapanya,ila jioni ntalala nanguruwe.
   
 4. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Heeh hiiyaah... Naona hii nayo ni nyingine tata pia unakula Panya na Kulala na Nguruwe. Iko njema hii..:peace:
   
 5. Lord K

  Lord K JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  vijiji vingine bana.! tehe, unaweza ukapigwa risasi.
   
Loading...