dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,820
- 61,728
kwani hana cuma ?
Waingie haina shida mbona magereza yanahitaji watu mkuu.wale watu hawanaga zama.wakiamua any time wanaingia mzigoni.
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Nani ambake JWTZ,labda atumie dawa,yani akiwa na nguvu zake na unajua wamefundishwa kujihami na kushambulia.kuna kitu kinafunikwa hapa.
mkuu ogopa zaidi kukosa hela alafu una nyege lazima ufanye kama fundi. yaani hujiulizi mara 2 huyu ni mjeda sijui kuna jela yaan utafanya ufanyavyo upate ile maneno.Daa mkuu umefanya nimecheka kwa nguvu sana aisee.
Machangudoa hawapo hadi anaenda kubaka?Tabora. Esther Gway, askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ameuawa wakati akijinasua asibakwe na anayedaiwa kufanya kitendo hicho ni fundi ujenzi.
Fundi huyo inadaiwa alikuwa akijenga nyumba ya marehemu eneo la Kariakoo katika manispaa ya Tabora.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu Januari 28, 2019 kamanda wa polisi mkoa wa Tabora, Emmanuel Nley amesema tukio hilo limetokea jana Jumapili Januari 27, 2019 saa moja usiku.
Kamanda Nley amesema kwamba mtuhumiwa alimvizia mwanajeshi huyo akiwa nyumbani kwake muda huo na kumkaba shingo kisha kumuangusha chini na katika purukushani za kutaka kumbaka huku akimkaba shingoni alisababisha kifo chake.
Endelea kufuatilia Mwananchi kwa taarifa zaidi
Chanzo: Mwananchi
Sawa, sasa nenda Ngerengere ukajaribu kumniga mjeda yeyote uone kama wanafundishwa kutumia silaha peke yake!Mwanajeshi sio mwanamieleka. Yeye kawa trained kutumia silaha. Sio mabavu.
kwani hana cuma ?
Mimi mwanajeshi hata awe mzuri vipi haisimami labda anitongoze yeye mwenyewe na tukifika chumbani avue nguo mwenyewe na kupanua mwenyewe na kujiingizia mwenyewe, nakuwa kama chui au simba dume
Bro wanalikaa tu ,,enzii zile 833KJ kuna ki private nilikipigia misele,,, nikamega kiselaMimi mwanajeshi hata awe mzuri vipi haisimami labda anitongoze yeye mwenyewe na tukifika chumbani avue nguo mwenyewe na kupanua mwenyewe na kujiingizia mwenyewe, nakuwa kama chui au simba dume
Sijakuuliza hivyo