Askari JWTZ auawa akijiokoa asibakwe

Askari JWTZ auawa akijiokoa asibakwe

Wakimkamata huyo mshenzi wala wasimpige,
Wamnyofoe hayo madubwasha yake, wamtoboe jicho moja na wamng'oe meno yote, halafu kwenye vidonda wamuweke chumvi, ndimu na pili pili, kisha wamtupe jela for the rest of his miserable life.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.

Waafrica uwa tunajua sana kutoa hukumu....
 
Habari hii ina Heading nyingi sana
Habari inaacha maswali mengi sana
Habari imetolewa kwa ufupi sana
Ila poa Mambo mengi Muda mchache
R.I.P Ester
 
Mmmmh yaani inasimama hata kwa mwanajeshi aisee hii miche yetu itatumaliza
Ujakutana na wanajeshi visu kwa taarifa yako uku napo ishi kuna mdada ni mwanajeshi ila nikisu mpaka wale wadada wanafanya kazi standard cherterd bank wanasubili tena mbalu sana kama manyoni na kibaigwa.
 
Hahahaaa we Manengelo wewe wakinywa uji je?😀😀

wasukuma wanaita kobhota (sina hakika sana na spelling)yaan analivuta liuji shwaaaa...khaaa...chai ht iwe imepoa zile kelele za kwenye mdomo unaziskia tu😏..wajomba zangu walikua wanakula maandazi kindoo cha lita 10 wanamaliza wawili😂😂😂
 
Hahahahaa katika suala la kula kwa Wasukuma acha kabisa wanakula hatari! kuna mbao tunao hapa Ofisini i shida
 
Hahahahaa katika suala la kula kwa Wasukuma acha kabisa wanakula hatari! kuna mbao tunao hapa Ofisini i shida

😂😂😂😂 nacheka km mazuri...alafu wanapenda ukoko wa wali balaa ukimpakulia wali anakuomba na ukoko😅😅😅..mie ukoko ht km nna njaa siwez kula..wao wanakukabidhi sufuria jeupeee
 
Huyo mjenzi alishindwa kutoa swaga kwa mjeda,Mbona hii habari ipo nusu nusu,huyo mjeda hakuwa na mume
 
Huyo jamaa jeshi halali yake atakachofanyiwa ni siri yake na jeshi
 
Back
Top Bottom