Askari JWTZ auawa akijiokoa asibakwe

Askari JWTZ auawa akijiokoa asibakwe

Huyo fundi alikosa kabisa hekima. Dada wa watu amekupa kazi umjengee nyumba yake, halafu mwisho wa siku unatumia nguvu kubwa kwa jambo lililohitaji utulivu na unyenyekevu! Labda aligundua mapema asingekubaliwa kupitia njia ya maridhiano. Sasa ndiyo basi tena, maisha yake yote atayamalizia jela.

Wanaume tunaojiamini huwa hatutumii nguvu. Unatongoza, ukikataliwa unakomaa na mwisho ukiona hakuna matumaini, unajaribu mahali pengine.
 
Mnawaogopa na kuwapa viburi tu wale mi ninakaa Mwanza karibu na kambi ya jeshi na kuna mjeda nilishamzingua na hakunifanya lolote , mwingine naye nilishamtembezea mkong'oto na hakufua dafu , nilijmkunja kweli kweli , mavi wale , hamna cha nguvu wala nini , wanaonea maboya tu .Mi nikimshushia ngumi yangu ya mkono wa kulia , anazimia .

Na wake zao ninawagonga kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huna lolote lile mwanza upo Sehemu gani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha ya marehemu pls ili tuone kilichomvutia fundi washi
 
Mavazi ya marehemu ningependa yaelezewe pia isiwe ni chanzo cha yalojiri
 
Nashindwa kuelewa mwanajeshi haogopwi mpaka anafikia kubakwa



Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hakubakwa mwanajeshi kabakwa mwanamke anaefanya kazi jeshini, kumbuka hakubakwa akiwa kazini amebakwa akiwa nyumbani na fundi aliyekuwa anamjengea kwake,kwahiyo hapo kulikuwa na hali ya kuaminiana bila ya hofu yoyote,kumbe lililomo sirini alijuae ni Mungu pekee kwa akili za kibanadamu hakulijuwa.
 
Esther Gway...kuna mmoja alisoma Kazima sec miaka ileee, sijui atakua mwenyewe? Alikuwa na akili sana darasani.
 
Ni bora alivyolinda utu wake ijapokuwa ameuliwa. Ni kifo cha kiheshima.
acha upuuzi kifo ni kifo ,ye ni mwanamke kot.mb.wa ni kitu cha kawaida ,hata angempa huyo jamaa asingepata chochote ,tena angepata muda mzuri wa kumshtaki then demu angeendelea na maisha yake.hakuna kitu cha thamani kama maisha.unataka kusema huyo demu alikua na bikra?
 
Usiandike tu mkuu let say kikosi kizima kifanye hivyo police mtafanya nini???

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu msifanye maovu kwa kuamini polisi watakufanya nini!!
Kufanya hivyo haumkomoi polisi,bali utajenga uhasama na raia.
On other hand mbona jwtz wengi tu wanakamatwaga na polisi wakianzishaga fujo mtaani(huko kwenye sehemu za starehe)

5/5.
 
Back
Top Bottom