Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,581
- 7,234
Atahukumiwa kama sheria zinavyosema...Huyo kalibaka jeshi. Ataipata.
kwani mwanajeshi kazidi nini?
Ile ni kazi kama zilivyo nyengine!
Sent using Jamii Forums mobile app
Atahukumiwa kama sheria zinavyosema...Huyo kalibaka jeshi. Ataipata.
Dogo Umeelewa kwanini nilimjibu hivyo???Mkuu msifanye maovu kwa kuamini polisi watakufanya nini!!
Kufanya hivyo haumkomoi polisi,bali utajenga uhasama na raia.
On other hand mbona jwtz wengi tu wanakamatwaga na polisi wakianzishaga fujo mtaani(huko kwenye sehemu za starehe)
5/5.