Askari JWTZ auawa akijiokoa asibakwe

Askari JWTZ auawa akijiokoa asibakwe

Taarifa ya kifo cha mjeda ni siri iliyofichwa,kwan kwa karne hii hakuna anayeweza kufuga nyege yaani hapo wametafuta namna kuficha kifo halisi cha mjeda wamekosa ila bado wameshindwa badala yake bado wamemuondolea utu na heshima kwa kifo cha kubakwa,wamemdhalilisha maremu, ila yote R.I.P our soldier.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakimkamata huyo mshenzi wala wasimpige,
Wamnyofoe hayo madubwasha yake, wamtoboe jicho moja na wamng'oe meno yote, halafu kwenye vidonda wamuweke chumvi, ndimu na pili pili, kisha wamtupe jela for the rest of his miserable life.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
Punguza hasira najua umeumia. Ila sheria itafata mkondo wake na haki itatendeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atajuta
201808mena_iraq_bazoona.jpeg


#bamia_ndefunene
 
Tanzania imeoza ....raia anamnyonga askari??nchi haina jeshi.....ndiyo yale ya Polisi kumbania Bashite makalio.
Fikiri nje ya kuona kwa macho, usikirie kwa kuona na kusikia tu. Fikirisha akili kidogo.

Hali kama, hali ya marehem kabla kitendo cha kukabwa tukio lilikuwaje, alimvizia katika kona yeyote wakiwa katika kuaminian kazini, some times mtu huona tahadhari zozote.

Maana ata mbuzi akijua unamfata huwezi mkaba koo kirahisi kama udhanivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si angeugwadua tu hata na sabuni??
Huyo mwanajeshi atakuwa alivaa nguo zenye ushawishi wa kubakwa bakwa wananguo zao za pundamili hivi (Za mpira) zinaonyesha mstari wa unaogawa matako
 
bahati mbaya shuhuda anaetuhabarisha alishindwa kuwa wa msaada wakati anaona mtu anataka kubakwa
 
Back
Top Bottom