Ni kweli, maeneo ya Quality Plaza
Si furahii kifo lakini naamini askari wa JK walikuwa na dili na hao majjambazi then wakageukana..Simnajua siku hizi ukikutana na jambazi ni afadhali kuliko ukutane na policcm!!!!Kwangu mimi ningeweza kuripoti Jambazi la serikari limeuwawa na jambazi la kujitegemea
Majambazi waliokuwa ndani ya gari aina ya Toyota Carina, mchana huu katika eneo la Tazara wamewarushia risasi askari polisi waliokuwa katika gari la doria. Majambazi hao walifanya hivyo walipodhani kuwa askari walikuwa wanawafatilia. Askari mmoja alipigwa risasi ya kichwa na kufumiliwa ubongo, na kufariki hapo hapo. Askari wawili wamekimbizwa hospitali ya Temeke ambapo mmoja yupo katika hali mbaya.
Majambazi hao walifanikiwa kutelekeza gari hiyo na kutoroka. Polisi wanaendelea kuwatafuta.
Mkuu shine wewe bado unaimani na hao majambaka?Au umesahau kuwa ndio waliomwua kikatili mwangosi na wengine kwa mamia ili Ccm iendelee kutawala...Umesahau Ccm bila polisi ingeweza chama kizuri tu kama Chadema na vingine ukitoa Cuf?Kimsingi hapo ni kwamba Jambazi linalolipwa na Ccm limeuwa na jambazi linalojilipa.Kweli policcm mmewachoka
Mkuu shine wewe bado
unaimani na hao majambaka?Au umesahau kuwa ndio waliomwua kikatili
mwangosi na wengine kwa mamia ili Ccm iendelee kutawala...Umesahau Ccm
bila polisi ingeweza chama kizuri tu kama Chadema na vingine ukitoa
Cuf?Kimsingi hapo ni kwamba Jambazi linalolipwa na Ccm limeuwa na
jambazi linalojilipa.
achakuongea pumba wewe angekua ni ndugu yako ndie kapigwa risas ungeongea hvyo?
Hukuona wakati mwangosi anazikwa palikuwa na ndugu zake ppembeni tena ni mke na watoto wadogo kabisa?Nadhani unafikiria unatumia masaburi ktk kufikiri nakushauri unapofikiria uwe umesimama ili usiyabane masaburi yako...Mbulula we..Akili ni nywele ila wewe utakuwa umefuga Ma..zi na wala si nyweleachakuongea pumba wewe angekua ni ndugu yako ndie kapigwa risas ungeongea hvyo?
Hukuona wakati mwangosi anazikwa palikuwa na ndugu zake ppembeni tena ni mke na watoto wadogo kabisa?Nadhani unafikiria unatumia masaburi ktk kufikiri nakushauri unapofikiria uwe umesimama ili usiyabane masaburi yako...Mbulula we..Akili ni nywele ila wewe utakuwa umefuga Ma..zi na wala si nywele
Majambazi yapo... hawa wasakwe wakamatwe na hakuna kuwaonea huruma... wameua kwa makusudi.. wanyongwe... kama mkizidi kuwaacha kwenye magereza watajaa na kuendelea kufanya watakavyo.. WANYOGENI WOTE WALIOUA KWA MAKUSUDI
Ohhh leo ni siku mbaya...........Mara nchungaji Buseresere sasa na Askari kauwawa .....mbona kama tuko Nigeria!!!
Mkuu shine wewe bado unaimani na hao majambaka?Au umesahau kuwa ndio waliomwua kikatili mwangosi na wengine kwa mamia ili Ccm iendelee kutawala...Umesahau Ccm bila polisi ingeweza chama kizuri tu kama Chadema na vingine ukitoa Cuf?Kimsingi hapo ni kwamba Jambazi linalolipwa na Ccm limeuwa na jambazi linalojilipa.
Majambazi yapo... hawa wasakwe wakamatwe na hakuna kuwaonea huruma... wameua kwa makusudi.. wanyongwe... kama mkizidi kuwaacha kwenye magereza watajaa na kuendelea kufanya watakavyo.. WANYOGENI WOTE WALIOUA KWA MAKUSUDI