Askari Auwawa na Majambazi Tazara

Askari Auwawa na Majambazi Tazara

acha kujifanya kila kitu siasa,mtu amekufa akiwa kazini yapaswa apewe heshma yake au ulitaka awe mburula kama ndugu zako?

Mwangosi walimwua akiwa gesti..!!??? Wacha na wao waonje chungu ya kuuwawa na vitu vizito vyenye ncha kali vinavyosadikiwa kurushwa kutoka upande usiojulikana..
 
Ohhh leo ni siku mbaya...........Mara nchungaji Buseresere sasa na Askari kauwawa .....mbona kama tuko Nigeria!!!
Nchi hii ina "mambo"...hapa kuna story inaitajika kufifishwa na wahusika, ukisoma post #6 ya uzi huu unaweza gundua ninacho maanisha...R.I.P afande na R.I.P wanabusersere waliouliwa.
 
Mwangosi walimwua akiwa gesti..!!??? Wacha na wao waonje chungu ya kuuwawa na vitu vizito vyenye ncha kali vinavyosadikiwa kurushwa kutoka upande usiojulikana..

haha kimerushwa toka upande usiojulikana.walahi nimecheka sna
 
Nidhamu ya kazi katika majeshi yetu na hasa jeshi la polisi imeshuka sana, tutaendelea kuona matukio kama haya kadri siku zinavyokwenda.
Nawaasa viongozi wa majeshi ya Tanzania warudishe nidhamu waliyoikuta ndani ya jeshi na ndio maana wao wakafika hapo sasa inakuwaje leo nyie viongozi mnapuuzia nidhamu mliyoikuta?
Kazi kwenu>meseji sent.
 
Kitu kilicho kosa mwelekeo chenye ncha kali kimempiga kichwani
 
nikikumbuka polisi walivyo muua jirani yangu na wakadai ni bahati mbaya walihisi ni jambazi kumbe walitaka pesa zake zilizo kuwa kwenye gari sitaki hata kuwasikia majambazi haya yaliyo chini ya magamba.wafe waishe huwezi jua huyo polisi aliua wangapi
 
Si furahii kifo lakini naamini askari wa JK walikuwa na dili na hao majjambazi then wakageukana..Simnajua siku hizi ukikutana na jambazi ni afadhali kuliko ukutane na policcm!!!!Kwangu mimi ningeweza kuripoti Jambazi la serikari limeuwawa na jambazi la kujitegemea

Polisi ni binadamu wana damu, nyama kama wewe, pamoja na udhaifu uliopo ndani ya jeshi lakina bado matukio ya kuuawa polisi na watu wengne sio jambo la kushabikia hata kidogo!! polis hawa wanafanya kazi 24/7 bila kupumzka, wapo waadilifu na wapo waliodandia bus, ushabiki wa dizaini hii ndo huzd kabsa kuchafua hali ya amani!! ni vp polisi wakilrevange kwa kunyamazia kila tukio, cc tutabaki????
 
Kuna kamanda anaitwa Sanya. Sijui yupo wapi kwa sasa lakini aliwahi kuwa Mbeya. Ilifika wakati Mbeya mjini mtu una anika jins yako ya elfu sitini usiku kucha nje na haibi mtu. Yeye alikuwa akisikia issue zako mara kwa mara anakuambia eidha hama mji ukamharibie mwingine huko au unapotezwa! Hakukuwa na majambazi Mbeya kipindi hicho.

Kamanda Sanya alikwisha staafu.
 
Si furahii kifo lakini naamini askari wa JK walikuwa na dili na hao majjambazi then wakageukana..Simnajua siku hizi ukikutana na jambazi ni afadhali kuliko ukutane na policcm!!!!Kwangu mimi ningeweza kuripoti Jambazi la serikari limeuwawa na jambazi la kujitegemea
huu sasa ndo mtizamo wa Watanzania wote pamoja na viongozi wetu, hatuna wa kumlaumu maana sote tunaongozwa na HISIA ukimuona mtanzania analaumu uongozi ulioko madarakani kwa maamuzi mabovu ujue ni MNAFIKI kwa maana sooooote tunaamua jambo kwa HISIA nchi inasonga mbeeeeeele
 
Aliye eneo la tukio atujuze kwa kilefu, ili tujue wameiba/walitaka kuiba wapi na ilikuwaje mpaka polisi akauwawa na wengine kujeruhiwa. Na kwa aliyekufa "r.i.p"

Vitu vizito
 
Polisi ni binadamu wana damu, nyama kama wewe, pamoja na udhaifu uliopo ndani ya jeshi lakina bado matukio ya kuuawa polisi na watu wengne sio jambo la kushabikia hata kidogo!! polis hawa wanafanya kazi 24/7 bila kupumzka, wapo waadilifu na wapo waliodandia bus, ushabiki wa dizaini hii ndo huzd kabsa kuchafua hali ya amani!! ni vp polisi wakilrevange kwa kunyamazia kila tukio, cc tutabaki????

tusiwahukumu wadogo kwa makosa yanayofanya na wakubwa wao.
 
Poleni familia ya malehem r.i.p afande.

ata mimi sina neno zaidi ya mkono wa pole kwa familia ya marehemu and r.i.p afande,umekufa ukitekeleza majukumu yako.
 
​
Mmoja wa askari aliyejeruhiwa na majambazi huko Temeke muda mfupi uliopita, akitolewa Hospitali ya Temeke kupelekwa Hospitali ya Muhimbili.

Asikari mmoja wa Jeshi la Polisi ameuawa na wengine wawili kujeruhiwa kwa risasi, baada ya kurushiwa risasi na Majambazi yaliyokua katika gari ndogo aina ya Toyota Carina leo maeneo ya Temeke, wakati Askari hao wakiwa katika doria za kawaida.

This is a developing Story
 
Duh! Janga kama hili linasikitisha na ukute majambazi yenyewe yamekacha.

Aliyeuawa Mwenyenzi MUNGU amlaze mahala pema peponi na hata wale waliojeruhiwa MUNGU wape nafuu na wapone mapema!

Aaamen!
 
Back
Top Bottom