Askari Auwawa na Majambazi Tazara

Askari Auwawa na Majambazi Tazara

halafu unakuwa lindoni upoupo kama vile nchi hii ina amani sanaaaaa wana sahau kuwa tanzania ya leo sio ya jana.
kuna ujambazi, alshababu,uamsho na mengine mengi sasa ilitakiwa kuwa wakati wa doria za uhakika na si mchezo mchezo

umenichekesha mno but ukweli mia pacentage
 
I dedicate jf members wimbo wa CRIME AND CORRUPTION wa Lucky dube. Ningekuwa na pc ningeuweka muusikilize!
 
Mkuu Mgomba101, nimejikuta ninacheka maana inaelekea na wewe ni mtu wa 'system' eti sababu ya kifo ni kitu kizito! kama wanavyosemaga wenzetu kwenye jeshi la polisi!

Askari kauwawa kwa kupigwa kichwani na kitu chenye ncha kali. R.I.P askari.
 
Back
Top Bottom