"Askari" aonekana akimwekea Davis Mosha kitu mfukoni

Hakukutana na vijana wa kazi huyo,sa izi ingekuwa mengine anizuie kufanya kazi halali niliyotumwa na serikali na anipore kitendea kazi sa izi angekuwa ICU
 
Katoa kitu mfukoni kwake alafu kwa umakini mkubwa akaingiza mfukoni kwa Jamaa...ingawa sio clear kama alifanikiwa ama la.

Sema sasa adui atakuwa aliyechukua huo mkanda, hawa jamaa hawapendi kushindwa kirahisi rahisi.
 
Swali: Hao maofisa kabla ya kwenda walijua kabisa kuwa ni lazima Mosha atafanya vurugu, na kuwasukuma sukuma hivyo watapata muda wa kumwekea kitu mfukoni wakati wa vurugu?
Mlengwa huwa ni yeyote atakayeingia anga zao.

Wao wanakuwa standby muda wowote kwa yeyote.
 
Ukiangalia kwa makini huyo mwenye shati la kijivu ametoa kitu mfukoni kwake akamsogelea Davis Mosha (Akajiweka upande kwa upande au kwa kiingereza "side by side" Kwa mkono wa kulia ambao aliufunga/aliukunja alipoutoa mfukoni mwake akaingiza kwenye mfuko wa suruali wa kushoto wa suruali wa Davis Mosha wakati huo akitumia mkono wa kushoto kumsukuma Mosha. Ukiangalia kwa makini mkono wa kulia wa huyo "askari"baada ya kuuingiza mfukoni kwa Davis Mosha akautoa ukiwa hauna kitu (Tofauti na mwanzo) halafu akatumia mikono yake miwili kumsukuma Mosha. Angalia kwa makini alichokuwa akifanya...kuwa "Detail oriented" Suruali kubana siyo tatizo kwa sababu si lazima alichowekewa siyo lazima kiwe kikubwa pia kumbuka hiyo suruali Davis Mosha anatumia hiyo mifuko ya suruali aidha kuwekea walet au inatosha pia kuweka mikono yake, hivyo suruali kubana siyo tija. Hapo yeyote mwenye macho na akili timamu anaona kilichotokea. Hapo ni simply kubambikiza....Hiyo system ya kubambikiza siyo ngeni hapa Tanzania hao polisi uchwara na polisi wa kawaida ni kitu wanachofanya siku zote. LINI HUU UONEVU UTAKWISHA?

Mkuu mbona povu linakutoka sana
Vipi unamaslahi nae
Aungemshautri atii sheria bila shuruti
Lugola alipowaambia waajiri wajiandae yeye alikuwa anasikiliza nini? bongo fleva.Au mlizania Lugola anatania
Huyu jamaa kuna uhakika kuwa anaajiri wafanyakazi haramu that why alipanic...
Mlizoea kuyaona haya yakifanyika kwa upinzani mkazani mkiwa ccm mnaweza kufanya lolote
Zama zimebadirika, Lugola ndani ya nyumba mwendo niule ule na ccm ni ileile
 
Hivi sheria zinasemaje!? Hawatakiwi wawe na vitambulisho hawa,!? Hawatakiwi wavioneshe kabla ya kufanya chochote!? Hwatakiwi wawe na search warranty!? Au mimi ndo sielewi!? Kama walikuwa navyo vyote hivyo imekuaje kuaje mpaka wakaanza kushikana mashati na huyo Mosha!?

Nakushauri usome vyanzo mbalimbali vya habari
Hayo yote unayo yasema bila shaka waliyafanya na ndiomaana wakaruhusiwa kuongea na meneja.
Tatizo ukiwa na pesa ukakosea mashabiki wako unaowalipa fadhila za bia na supu watajaa mitandaoni kukutetea in turn wanatetea matumbo yao.
Kwa kifupi Mosha amechemka, huwezi kumwambia binadamu mwenzako "MBWA WEWE"..
Naamini hata Raisi wetu mpendwa mpenda haki na mtetezi wa wanyonge akisikia watumishi wake wauma wanaitwa MBWA haita mpendeza
Mosha cha msingi aombe msamaha yaishe
 
MUWE MAKINI NA MADA MNAZOZIANZISHA

MWENZENU MMOJA ALIKASHIFU JESHI KWAKUDAI HUDUMA ZAO PALE L
Nimeangalia kwa makini clip ya askari waliojifanya kuwa wa IMMIGRATION waliokwenda kwa Davis Mosha,Mmoja wa hao "maaskari" aliyevaa shati la kijivu alimsogelea kwa kumvizia Davis Mosha wakati wakibishana na hao "askari feki" akamuwekea kitu mfukoni halafu akamsukuma. Tumesikia kuwa Davis Mosha alipelekwa polisi.....Ninahisi kuwa aidha walimtilia bangi au Dawa za kulevya au simu waliyosema aliwanyang'anya wao. Aliyevaa shati la kijivu anafanana na yule aliyemtolea Nape Nnauye bastola mwaka jana.
Inasikitisha kuona nchi yetu inaharibiwa na hao askari wa Makonda. Huo ni mfano mwingine wa aina ya uvamizi unaofanywa na askari wa Makonda, ukianzia Clouds TV, Utekaji wa Roma Mkatoliki na uvamizi kwenye kituo cha mafuta cha Peter Zakaria huko mkoani Mara. Aina hiyo ya uvamizi na utekaji unafanana kwa namna moja au nyingine hivyo inaonekana mpangaji wa hayo maovu inawezekana akawa mtu mmoja ambaye si mwenye akili kabisa, Tumefikia pabaya kwa mambo yanayotokea nchini mwetu imekuwa kama Uganda wakati wa Idi Amin na Malyamungu walivyokuwa wakitumia vikosi vya State Bureau kuteka na kuua (au kupoteza watu....Kama anavyosema Jerry Muro) Hiyo link hapo chini utaona video yote. Kama utaclick na itashindwa kufanya kazi copy

MUWE MAKINI NA MADA MNAZOZIANZISHA

MWENZENU MMOJA ALIKASHIFU JESHI KWAKUDAI HUDUMA ZAO PALE LUGALO MBOVU

KILICHOFUATA JEWSHI LIKAMTAKA AJIPELEKE MWENYEWE AKAONGEE NA WA JEDA

ILANI YANGU KWAKO MLETA MADA, JESHI LA POLISI LINAWEZA LIKAKUOMBA UKATOE USHAHIDI KWENYE HII MADA YAKO NA UTHIBITISHE KAMA KWELI HUYO UMSEMAE NI ASKARI AU MPAMBE WA JAMAA YENU
 
Ukiangalia kwa makini huyo mwenye shati la kijivu ametoa kitu mfukoni kwake akamsogelea Davis Mosha (Akajiweka upande kwa upande au kwa kiingereza "side by side" Kwa mkono wa kulia ambao aliufunga/aliukunja alipoutoa mfukoni mwake akaingiza kwenye mfuko wa suruali wa kushoto wa suruali wa Davis Mosha wakati huo akitumia mkono wa kushoto kumsukuma Mosha. Ukiangalia kwa makini mkono wa kulia wa huyo "askari"baada ya kuuingiza mfukoni kwa Davis Mosha akautoa ukiwa hauna kitu (Tofauti na mwanzo) halafu akatumia mikono yake miwili kumsukuma Mosha. Angalia kwa makini alichokuwa akifanya...kuwa "Detail oriented" Suruali kubana siyo tatizo kwa sababu si lazima alichowekewa siyo lazima kiwe kikubwa pia kumbuka hiyo suruali Davis Mosha anatumia hiyo mifuko ya suruali aidha kuwekea walet au inatosha pia kuweka mikono yake, hivyo suruali kubana siyo tija. Hapo yeyote mwenye macho na akili timamu anaona kilichotokea. Hapo ni simply kubambikiza....Hiyo system ya kubambikiza siyo ngeni hapa Tanzania hao polisi uchwara na polisi wa kawaida ni kitu wanachofanya siku zote. LINI HUU UONEVU UTAKWISHA?
Huu uonevu siku waoneaji watakapoanza kuondolewa, mmoja baada ya mwingine
 
Kweli aisee,hivi mtu kama huyo nikienda nikavaa mask nikamtia risasi ntakuwa nna kosa?
 
Nakushauri usome vyanzo mbalimbali vya habari
Hayo yote unayo yasema bila shaka waliyafanya na ndiomaana wakaruhusiwa kuongea na meneja.
Tatizo ukiwa na pesa ukakosea mashabiki wako unaowalipa fadhila za bia na supu watajaa mitandaoni kukutetea in turn wanatetea matumbo yao.
Kwa kifupi Mosha amechemka, huwezi kumwambia binadamu mwenzako "MBWA WEWE"..
Naamini hata Raisi wetu mpendwa mpenda haki na mtetezi wa wanyonge akisikia watumishi wake wauma wanaitwa MBWA haita mpendeza
Mosha cha msingi aombe msamaha yaishe
Alisema mbwa akimaanisha mtu masikini ukimlinganisha na yeye,Mimi naona sawa wale jamaa ni mbwa tu kwa mosha yupo sawa kabisa,
 
Nimeangalia kwa makini clip ya askari waliojifanya kuwa wa IMMIGRATION waliokwenda kwa Davis Mosha,Mmoja wa hao "maaskari" aliyevaa shati la kijivu alimsogelea kwa kumvizia Davis Mosha wakati wakibishana na hao "askari feki" akamuwekea kitu mfukoni halafu akamsukuma. Tumesikia kuwa Davis Mosha alipelekwa polisi.....Ninahisi kuwa aidha walimtilia bangi au Dawa za kulevya au simu waliyosema aliwanyang'anya wao. Aliyevaa shati la kijivu anafanana na yule aliyemtolea Nape Nnauye bastola mwaka jana.
Inasikitisha kuona nchi yetu inaharibiwa na hao askari wa Makonda. Huo ni mfano mwingine wa aina ya uvamizi unaofanywa na askari wa Makonda, ukianzia Clouds TV, Utekaji wa Roma Mkatoliki na uvamizi kwenye kituo cha mafuta cha Peter Zakaria huko mkoani Mara. Aina hiyo ya uvamizi na utekaji unafanana kwa namna moja au nyingine hivyo inaonekana mpangaji wa hayo maovu inawezekana akawa mtu mmoja ambaye si mwenye akili kabisa, Tumefikia pabaya kwa mambo yanayotokea nchini mwetu imekuwa kama Uganda wakati wa Idi Amin na Malyamungu walivyokuwa wakitumia vikosi vya State Bureau kuteka na kuua (au kupoteza watu....Kama anavyosema Jerry Muro) Hiyo link hapo chini utaona video yote. Kama utaclick na itashindwa kufanya kazi copy

Mkuu acha uzushi... David Mosha ni criminal aliyebobea hawahitaji kumwekea bhangi ni kufungua record zake tu wanapata makosa kibao ya kudeal naye tena ya money laundering!! Huyo naye wakuwekewa bhangi kweli??!!
 
Back
Top Bottom