Do you have any question concerning C/C++, Java, Python, PHP & Yii, JavaScript & JQuery?
Ask me a question (AMAQ) is the way to go.
I will find time to answer any question ... as much as I can 🙂
So ask me!
PHP Question: I have two strings, A and B. String B contains every element in A, and has one additional member
A = ['WordPress', 'Joomla', 'Magento']
B = ['Drupal', 'WordPress', 'Joomla', 'Magento']
Write a function to find the extra string in B
Hivi amemaanisha maswali ya design hii au???
Bahati mbaya sitaweze kwa kukosa muda ila C++ niko vizuri na nimefanya Project kubwa tu Ikiwemo IDE ya PHP.Kama unaweza c++ vizur nina project yangu ya kutengeneza game la android na ios tutatumia unity game engine mi niko vizur kwenye animating
Umenipata barabara. Nilidhani labda kuna watu wana burning questions nikadhani nitenge muda kuyajibu. Sasa napewa test za darasani .... mwalimu kageuka mwanafunzi 🙂anahitaji maswali kuhusu hizo lakin msimpe maswali ya kudefine maana majibu yapo google,anahitaji maswali mbalimbali kuhusu hizo
Madarasa yapo mbona tunafundisha (check signature yangu) na mwezi ujao yataanza? Au unamaanisha nini (incase sijakuelewa)?mm nakushauri bora uanzishe darasa tu uwafundishe watu programe
Android ni Platform/Mobile OS iliyojengwa juu ya Linux Kernel na Dalvik Virtual machine ambayo ni modification ya normal JVM optimized kwa ajili ya mobile devices. Ku develop na Android unahitajiila mm nima swali moja ni software gani inatumika katika kutengenezea android application
Just curious...A and B are strings or indexed arrays of strings?
Bahati mbaya sitaweze kwa kukosa muda ila C++ niko vizuri na nimefanya Project kubwa tu Ikiwemo IDE ya PHP.
Ila ukikwama sehemu I can personally find time to help.
Unataka kutumia NDK au Utatumia JNI moja kwa moja?
Aisee umeadimika sana boss.
Karibu sana.